Wajitokeza kuongeza nguvu matumizi gesi asilia Katika jitihada za kuongeza matumizi ya nishati safi katika shughuli mbalimbali, wadau mazingira wamekuja na njia tofauti za kuhakikisha watu wanahama katika utegemezi wa nishati walizozizoea.
PRIME Hidaya, kipindupindu, mafuriko vyatishia ukuaji wa maendeleo Majanga yanayotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya baadhi ya nchi za Afrika Mashariki yamesababisha vifo, majeraha, upotevu wa mali, uharibifu wa miundombinu na...
Kwa nini vimbunga vingi hupewa majina ya kike? Hata kimbunga cha sasa, kinachotazamiwa kupiga katika pwani ya Bahari ya Hindi kusini mwa Tanzania kati ya Leo Mei 3 na Mei 6, 2024, nacho kimeitwa Hidaya.
Kwa nini uwekezaji sekta ya kilimo ni muhimu “Kama kilimo kikienda kombo, hakuna jambo lingine litapata nafasi ya kwenda vizuri,” alisema raia wa India, Mankombu Sambasivan Swaminathan, aliyekuwa mbobevu wa masuala ya kilimo.
Ushiriki wa CRDB kukuza uchumi, biashara na uwekezaji nchini Hesabu za mwaka uliopita (2023) zilionyesha kuwa jumla ya rasilimali za benki ya CRDB zimeongezeka kwa asilimia 14 kutoka Sh11.6 trilioni mwaka 2022 hadi Sh13 trilioni, huku amana za wateja...
Polisi wapewa msaada wa vitanda Moshi Exim inaamini msaada huo utasaidia kuboresha mazingira ya mafunzo kwa maofisa wa polisi yatakayochangia kuboresha Jeshi la Polisi katika majukumu yake ya kuwahakikishia ulinzi na usalama Watanzania
NCBA yazidi kuwekeza dijitali ikirahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha Kutokana na mabadiliko ya kidijitali yanayoendelea katika sekta mbalimbali, Benki ya NCBA Tanzania imezindua programu mpya ya kibenki iitwayo 'NCBA Now' kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa...
Wizara yataka wanawake kugombea kwa wingi uchaguzi ujao Tanzania ambayo kwa sasa inaongozwa na Rais mwanamke (Samia Suluhu Hassan) inatarajia kufanya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu na uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani...
BoT yatoa neno shilingi kushuka, ikitangaza ongezeko la riba Dar es Salaam. Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imepandisha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 iliyotumika katika robo ya kwanza ya mwaka 2024 hadi asilimia sita, ambayo itatumika katika...
Aga Khan Foundation kupanda miti milioni 50 Katika mpango huo tayari miti zaidi ya 450,000 ya mikoko imepandwa na lengo la sasa ni kupanda walau mikoko 60,000 kwa mwezi.