Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Hatima dhamana ya Wakili Madeleka kesho

    Hatima ya kupata dhamana Wakili maarufu nchini Peter Madeleka anayeshikiliwa katika gereza la Kisongo Arusha, itajulikana kesho Agosti Mosi, 2023 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.

  2. PRIME Mama adaiwa kuua kichanga, azika kichwa, aficha kiwiliwili

    Mkazi wa Kijiji cha Nayeme wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, Melania Tarimo anatuhumiwa kumuua mtoto wake anayekadiriwa kuwa na miezi miwili au mitatu kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na...

  3. PRIME Binti wa miaka 14 afika kilele Mlima Kilimanjaro

    Rebecca Damian (14), mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kivukoni, ameweka historia kwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro tangu kuanza kwa kampeni ya ‘GGM Kili Challenge’ miaka 20 iliyopita.

  4. Dereva bajaji mbaroni, adaiwa kumuua mlinzi ofisi ya DC Moshi

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, linamshikilia dereva bajaji, Abdan Abdi, mkazi wa Majengo kwa Mtei, Manispaa ya Moshi, kwa tuhuma za mauaji ya Michael Dastani Ngulizi, aliyekuwa mlinzi ofisi...

  5. Mwananchi yang’ara tuzo za Ejat, yazoa 12

    Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeshinda tuzo 12 usiku wa jana Jumamosi Julai 22, 2023 katika mashindano ya Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat).

  6. PRIME Sababu kifo cha Sixtus nje

    Ripoti ya uchunguzi ya mwili wa mwanafunzi Sixtus Kimario (7), anayedaiwa kupigwa viboko na mwalimu wake inaonyesha kifo chake kilisababishwa na damu kuvujia kwenye ubongo.

  7. Serikali kuanza kulipa fidia KIA Agosti

    Baada ya tathmini kufanyika, Serikali inakusudia kutumia Sh11 bilioni kulipa fidia kwa wananchi wa vijiji vya Tindigani, Sanya stesheni na Chemka vilivyokuwa na mgogoro wa umiliki ardhi na uwanja...

  8. Kikwete ampigia chapuo Profesa Mkenda uchaguzi ujao

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wakazi wa Wilayani Rombo, kumshikilia Mbunge wao, Profesa Adolf Mkenda kwa kuwa ni miongoni mwa wabunge wanaofanya vizuri nchini.

  9. Kikwete asimulia alivyowafahamu Shirima na Mramba wakiwa hai

    Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete jana Julai 15, 2023 alizitembelea familia za marehemu Basil Mramba, Michael Shirima na Isdori Shirima, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro huku akisisitiza...

  10. PRIME Kikwete aonya ARV za mitaani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete amewatahadharisha Watanzania akiwataka kuchukua dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) katika hospitali rasmi zinazotambuliwa na Serikali.

    New Content Item (1)
Previous

Page 83 of 144

Next