PRIME Nzengo: Nguvu ya mshikamano Kanda ya Ziwa Katika miji na vijiji vya mikoa ya Kanda ya Ziwa, sauti ya kilio au yowe inaposikika kuashiria tatizo, ikiwamo taarifa za kifo, mfumo wa kijamii uitwao nzengo huchukua nafasi yake.
DC Chikoka ahimiza amani, upendo uchaguzi mkuu Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka amewaongoza wakazi wa Manispaa ya Musoma katika bonanza maalum la michenzo lenye lengo la kuhamsisha amani, upendo, ushirikiano na amani kuelekea uchaguzi...
Vijana wachimba madini wafundwa Vijana zaidi ya 1,700 wilayani Tarime waliopewa leseni kwa ajili ya kuanzisha uchimbaji mdogo wa dhahabu wametakiwa kuweka malengo juu ya nini wanatarajia badala ya kipato watakachokipata kuwa...
Waitara aamriwa kumlipa Maswi Sh6 bilioni kwa kumkashfu Mahakama Kuu Kanda ya Musoma imemuhukumu mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara pamoja na wenzake wawili kumlipa fidia ya Sh6 bilioni Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi...
Mashamba ya bangi yateketezwa Bunda Jeshi la Polisi mkoani Mara limeteketeza ekari nne za mashamba ya bangi yaliyogundulika Kijiji cha Mekomariro, wilayani Bunda, katika operesheni maalumu ya kudhibiti kilimo na usambazaji wa dawa...
Kichanga wa siku 11 atelekezwa stendi, mama aacha ujumbe Mwanafunzi wa kidato cha tatu ambaye bado hajafahamika amemtelekeza mtoto wake mwenye umri wa wiki moja na siku nne katika eneo la stendi ya mabasi Bweri Manispaa ya Musoma kwa madai ya ugumu wa...
Mama, mtoto wajeruhiwa mahari ikitajwa Kuishi na mwanamke kwa takriban miaka minne bila kufunga ndoa kunadaiwa kuwa chanzo cha mtafaruku mkubwa wa kifamilia wilayani Rorya, mkoani Mara, hali iliyosababisha mwanamke mmoja na mtoto wake...
Wanakijiji wachanga mamilioni kujenga shule mpya Amesema kwa mwaka wa fedha 2024/25 Serikali imetoa Sh1.7 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya tatu katika halmashauri hiyo katika kata za Bukima, Mugango na Nyamrandirira miradi ambayo...
Tanzania moja ya nchi 10 zinazohifadhi dhahabu nyingi Benki Kuu Tanzania imeingia kwenye orodha ya nchi 10 Afrika zenye akiba nyingi ya dhahabu zinazohifadhiwa katika benki kuu za nchi hizo baada ya kufanikiwa kununua na kuhifadhi tani 3.7 za dhahabu.
NMB yaahidi kuinua wachimbaji wadogo Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameitaka NMB pamoja na taasisi nyingine za fedha kutoa elimu kwa wachimbaji na kuwaelekeza namna ya kunufaika na mikopo inayotolewa na taasisi hizo ili...