Wachungaji KKKT: Msuya atakumbukwa kusimamia kuzaliwa Dayosisi ya Mwanga
Licha ya wachungaji kutengwa, lakini mzee Msuya aliendelea kusimama nao kwani hata mkewe, Rhoda Msuya na mwanae, Geofrey Msuya walipofariki kwa nyakati tofauti mwaka 2005, walizikwa na wachungaji...