Wataalamu wagundua mashine ya kuzalisha taulo za kike kwa Sh200 Serikali imezindua mashine itakayomwezesha mwanafunzi kununua pisi moja ya taulo ya kike kwa Sh200 ili kusaidia wanafunzi wanaokosa masomo kutokana na ukosefu wa miundombinu rafiki ya kujihifadhi...
Jaji Mkuu ataka Tehama kuziba pengo watumishi mahakamani Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma amewataka Watumishi wa Mahakama kuchochea matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili sekta ya Mahakama iwe sehemu ya mabadiliko na...
Waziri Ummy ataka NIMR kutafiti tiba asili ya BP Hatua ya uchunguzi huo imefikiwa na Serikali kutokana na ongezeko la wagonjwa wa Shinikizo la juu la damu nchini.
Uchunguzi kifo tata cha mwanafunzi Udom bado Jeshi la Polisi nchini limesema halijakamilisha uchunguzi wa taarifa za kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdallah na kuwataka wananchi wawe na subira.
Vijana wapewa mbinu kufanikiwa sekta binafsi Dodoma. Ukosefu wa vyanzo endelevu vya fedha, upungufu wa rasilimali watu na uwezo mdogo wa kitaalamu ni changamoto zinazotajwa kuzuia sekta binafsi kushiriki kikamilifu kuimarisha sera, ukosefu...
Hospitali ya Benjamin Mkapa kuanza upandikizaji uloto Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua huduma ya upandikizaji wa uloto kwa wagonjwa wa Selimundu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati ya Benjamin Mkapa.
Wafanyakazi Dodoma walia na Tume ya Utumishi wa Umma Katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi, Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limeeleza kushangazwa na suala la Tume ya Utumishi wa Umma kuwapa nafasi ya kukata rufaa waajiri...
Mackenzie na sakata la vifo vya waumini Kenya Wakati kiongozi wa dhehebu tata la Kikristo Kenya, Mchungaji Paul Mackenzie akitarajiwa kufikishwa mahakamani wiki ijayo, Mwinjilisti maarufu wa Televisheni nchini humo, Ezekiel Odero amekamatwa...
Muuguzi aliyebishana na mtaalamu wa maabara atiwa hatiani Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limemtia hatiani Rose Shirima aliyeonekana kwenye video katika mitandao ya kijamii akibishana na mtaalamu wa maabara kuhusu vipimo, kuwa atakuwa chini...
Polisi yauwa majambazi wanne Dodoma Mfanyabiashara huyo wa huduma za kifedha (wakala) mkazi wa Kisasa alivamiwa na watu hao akiwa anajiandaa kufunga mlango baada ya kumaliza shughuli zake za nyumbani.