Search

217 results for Robert Kakwesi :

  1. Tabora kuwabaini ‘wachakachuaji' maziwa kwa kifaa maalum

    Wastani wa kitaifa wa unywaji wa maziwa kwa mtu mmoja ni lita 62 kwa mwaka huku kimataifa ikiwa ni lita 200.

  2. RC Tabora atoa maagizo kwa Dc Kihongosi

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian amemuagiza Mkuu mpya wa Wilaya ya Urambo, Kenani Kihongosi kufuatilia hali ya chakula wilayani humo akihofia wananchi kuvuna na kuuza bila kuachia akiba.

  3. Mapya yaibuka ripoti watoto njiti kutolewa viungo

    Mkuu wa MkoaTabora (RC), Balozi Batilda Burian amesema uchunguzi wa awali wa vifo vya mapacha waliozaliwa kabla ya wakati katika kituo cha afya Kaliua mkoani Tabora umeiabini watoto hao...

  4. Baba watoto njiti agoma kuchukua miili

    Licha ya Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi kwa watoto njiti waliofariki dunia wilayani Kaliua Mkoa wa Tabora, baba wa watoto hao, Issaka Raphael amegoma kuchukua miili akitaka watuhumiwa wa tukio...

  5. Mapya sakata la watoto njiti Tabora

    Utata umeendelea kutawala tukio la pacha waliozaliwa na kufa, kisha viungo vyao kunyofolewa macho, kukatwa ulimi na kuchunwa ngozi kwenye paji la uso katika kituo cha afya Kaliua, kufuatia...

  6. Meneja Ruwasa ‘aliangukia’ baraza la madiwani

    Kaimu Meneja wa Ruwasa wilayani Kaliuwa ameomba radhi Baraza la Madiwani baada ya kupita miezi mitatu tangu alipotamka kuwa hawajibiki kwenye baraza hilo.

  7. Aliyekuwa Mkurugenzi Iguwasa kizimbani kwa uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Igunga (Iguwasa), Hussein Nyemba (34) akikabiliwa...

  8. TTB kuuza kilo 125 milioni za tumbaku msimu wa 2022/23

    Masoko ya tumbaku yameanza rasmi leo Jumatano Aprili 26, 2023 kwa makampuni ya ununuzi wa zao hilo kuanza kununua tumbaku kwa wakulima.

    New Content Item (1)
  9. Walimu waliodaiwa kuvujisha mitihani waachiwa huru

    Katika shauri hilo la jinai namba 49/2021, lililofunguliwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora, walimu hao waliokuwa wakitetewa na Wakili, Kelvin Kayaga walidaiwa kuvujisha mitihani ya somo...

  10. Amuua dereva bajaji kisha kumfukia shimoni akimtuhumu kutembea na mkewe

    Mwanaume mmoja (jina limehifadhiwa) anatuhumiwa kumuua kisha kumfukia kwenye shimo dereva bajaji, Benedicto Modest (40) kwa kudhani anamahusiano ya kimapenzi na mke wake.

Page 1 of 22

Next