Search

1411 results for Tatu Mohamed :

  1. Mpango mzima mabasi ya mwendokasi majijini

    Mataifa mengi yanayoendelea yanakabiliwa na changamoto ya uwiano sawa kati ya idadi ya miundombinu na huduma za kijamii zinazohitajika.

  2. Membe na mti wa ajabu unaofanikisha ndoto

    Kama ulifikiri mabadiliko ya teknolojia na jamii kuchangamana kumeua mila na desturi kwa Watanzania wengi, umekosea. Kama unadhani watu wakisoma na kupata madaraka wanasahau asili zao umepotea...

  3. Polisi Arusha wapokea pikipiki 15, kuboresha usalama wa watalii

    Waziri wa Maliasili na utalii, Mohamed Mchengerwa ameipongeza benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki 15 zenye thamani ya Sh40 milioni kwa Jeshi la Polisii mkoani hapa, zitakazosaidia...

  4. Nchi 38 kushiriki maonyesho ya utalii Arusha

    Wanunuzi wa utalii kutoka nchi zaidi ya 38 duniani wamethibitisha kushiriki maonyesho ya Kimataifa ya utalii ya Karibu KiliFair, yatakayofanyika katika viwanja vya Magereza jijini Arusha kuanzia...

  5. Kaseba: Mlokole anayeasa wanamichezo

    Bondia mkongwe wa ngumi na mateke 'Kick boxing', Japhet Kaseba (44), anatoa somo la maisha kwa wanamichezo kuandaa maisha yao nje na kazi hiyo ili kuepukana na msongo wa mawazo baada ya kustaafu.

  6. Azam yatinga fainali ASFC baada ya miaka minne

    AZAM FC leo ilitangulia kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), baada ya kuichapa Simba mabao 2-1 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara.

  7. Yanga yawekewa Sh300 milioni kuiua Rivers

    KUNA kila dalili Rivers United wakaangukiwa na kitu kizito leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa. Kocha wa viungo, Helmy Gueldich na bosi wake, Nasreddine Nabi wameshamaliza kazi yao kambini huku...

  8. Madiwani Ileje walalamika michezo ya kubashiri kuvunja ndoa

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje wameiomba Sheria ya michezo ya kubashiri ipitiwe upya kutokana na kusababisha ndoa nyingi kuvunjika na mmomonyoko wa maadili kwa vijana.

  9. Anayedaiwa kukutwa na nyeti, mafuvu ya binadamu afutiwa kesi

    Mbali na kumfutia mashtaka na kumwachia huru, mshtakiwa hiyo, Mahakama hiyo imeamuru mshtakiwa asikamatwe mpaka upande wa mashtaka watakapowasilisha vielelezo mahakamani.

  10. Manula hatihati kuikosa Derby

    Habari ya kushtua ni kwamba kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula anaweza asisimane langoni kesho saa 11:00 jioni dhidi ya Yanga katika pambano la Kariakoo Derby la 110 la Ligi ya Bara lakini...

Page 1 of 142

Next