Vita ya ubingwa Yanga, Simba inavyosubiri majibu ya mwisho Matokeo hayo yameifanya Yanga iendelee kuongoza msimamo wa Ligi ikifikisha pointi 72 huku Simba ikifikisha pointi 70 na kuendelea kubaki katika nafasi ya pili.