PRIME Ukweli kuhusu Watanzania wanaougua kifafa Kifafa ni ugonjwa sugu usioambukiza wa ubongo, unaoathiri takriban watu milioni 50 duniani.
PRIME Mdau wa elimu ataka udereva wa bodaboda kufundishwa shule za msingi Nkonya ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya ubunifu katika elimu Tanzania (EIT), amezungumza na Mwananchi katika mahojiano maalumu akitoa ushauri wa masuala mbalimbali unaolenga...
ANTI BETTY: Mume wangu hataki nijipodoe siku hizi Anti nimeolewa, tena na mwanamume niliyempenda kwa dhati na niliyembadili kutoka kuvaa kawaida hadi kuwa mtanashati anayevutia.
PRIME KONA YA MAUKI: Chanzo msongo wa mawazo kuwa tatizo la familia nyingi Ukosefu wa muda unaonekana kuwa tatizo kwa wanafamilia wengi, wengi huwahi sana kutoka nyumbani mapema asubuhi na kuchelewa sana kurudi, hakuna siku shughuli zimepungua au kwisha.
PRIME Zijue ishara hatari za kimaadili kwa mtoto Mzazi makini anaweza kutambua dalili za awali za mtoto anayeanza kupotoka kimaadili na kuchukua hatua stahiki kabla hali haijawa mbaya zaidi.
PRIME Msaidie hivi mtoto kukabiliana na hisia Uchanga wa kihisia unachangiwa na malezi yanayowanyima watoto fursa ya kutambua hisia zao. Kwa kujua kuwa hisia fulani hazikubaliki, watoto hujifunza kuficha na kukana hisia zao ili wawe salama.
Unasihi kwa wanafunzi watajwa kuwa suluhisho la ajira Hoja hiyo imekuja wakati Serikali ikiboresha mitalaa na Sera ya Elimu ikilenga kuwapa nafasi wanafunzi nafasi ya kuchangua fani za kusomea zitakazowawezesha kujiajiri au kuajiriwa.
PRIME Haya ndio madhara ya kununa kwa wanandoa Mchungaji Mgogo anasema hakuna ndoa ambayo haina migogoro, lakini wanapopitia vikwazo wasiweke kiburi.
PRIME Hiki ndicho chanzo wasichana wengi kuvunja ungo mapema Matukio ya wasichana wenye umri mdogo kupevuka (kuvunja ungo) ni ya kawaida katika miaka ya hivi karibuni.
Tumia mbinu hizi kulinda figo zako Watafiti waligundua kuwa unywaji wa glasi moja ya maji kunazuia usagaji wa sumu mwilini na kuipunguzia mzigo figo.
Sababu mazoezi kuwa muhimu kwa mjamzito Kwa kifupi, mazoezi mepesi hayana madhara kwa ujauzito katika hatua za awali yaani katika chini ya miezi mitatu au muhula wa kwanza
Mjamzito adaiwa kufariki dunia daktari akitazama video YouTube Mwanamke mmoja aliyefika hospitali kwa ajili ya kujifungua, inadaiwa amefariki dunia katika Jimbo la Imo nchini Nigeria baada ya daktari kufanya upasuaji wa kumtoa mtoto tumboni (CS) kwa msaada...
Maandalizi teknolojia mpya matibabu ya selimundu yaanza Serikali imesema imeanza maandalizi ya wataalamu na teknolojia mpya ya matibabu ya ugonjwa wa selimundu kwa kutumia teknolojia ya CRISPR Cas 9 (Gene Editing).
PRIME Namna ajali za bodaboda, ulaji wa 'kitimoto' zinavyosababisha kifafa Zikiwa zimebaki siku tatu kuazimisha siku ya Kimataifa ya Kifafa duniani itakayoadhimishwa Februari 10, 2025, imeelezwa ugonjwa huo husababishwa na hitilafu ya kusambaa kwa umeme kupitia mishipa...
PRIME Ifahamu Sera ya Elimu na Mafunzo Elimu ya awali inalenga kumwandaa mtoto kimakuzi, kimwili, kiakili, kimaadili, kijamii na kijinsi na kumwezesha mtoto kujitambua mwenyewe na mazingira yanayomzunguk
Wadau waipa Serikali ramani utekelezaji wa sera ya elimu Uzinduzi huo unafuatia kukamilika kwa nchakato wa mapitio ya sera hiyo iliyozinduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2014.
PRIME Waviu 23,850 wabainika kuwa na VVU hatua ya juu Jumla ya watu 23,850 wanaoishi na VVU (Waviu) walifika katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini wakiwa katika hatua za juu za ugonjwa wa VVU na Ukimwi katika kipindi cha miezi sita, kuanzia...
PRIME Suzan Lyimo na kilio cha wazee kuachiwa wajukuu Miaka ya hivi karibuni bibi na babu wamekuwa wakikwepa kuishi na wajukuu, huku baadhi ya sababu zikitajwa ni maisha kuwa magumu, lakini wenye watoto wao kushindwa kuwagharimia matumizi yao.
TUONGEE KIUME: Unachotakiwa kumfanyia mwanamke anayejizeesha Alikuwa ni mwanamke mzuri, mrembo kupita maelezo. Alikuwa ni mwanamke anayeweza kubeba sifa zote tamu na bado akabaki na nafasi ya kupokea zingine.
PRIME KONA YA MAUKI: Ifahamu Migogoro ya kihaiba na namna ya kuitatua Kwa kawaida, popote haiba mbili tofauti zinapogongana lazima mgogoro hutokea, ingawa hali hii inaweza kupunguzwa au hata kuepukwa kabisa.