PRIME MC Alger yaitibulia Yanga kwa Mokwena Kocha wa zamani wa Wydad Casablanca, Rulani Mokwena, ameripotiwa kuwa kwenye orodha ya makocha wanaowaniwa na klabu ya MC Alger, ambao ndiyo Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Algeria (Ligue 1)...