Deci mpya yatafuna mamilioni Kilimanjaro

Moshi. Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba! ndivyo unavyoweza kusema baada ya viongozi wa dini na waumini kuchangishwa mamilioni ya fedha kwa ahadi ya kujengewa makanisa, kupewa mikopo isiyo na riba na ajira.

Viongozi wa dini na waumini wapatao 40,000 walichangishwa fedha hizo na Shirika la kidini la United Missionary Foundation Tanzania (UM).

Kujua undani wa habari hii, jipatie nakala yako ya gazeti la Mwananchi leo Machi 08, 2021