Lishe na joto vyatajwa chanzo cha ugumba

Lishe na joto vyatajwa chanzo cha ugumba

Muktasari:

  • Wataalamu wa afya wamesema joto kali hushusha uwezo wa kende kuzalisha mbegu za kiume na hivyo kuchangia ongezeko la wanaume wagumba maeneo yenye hali hiyo.

Wataalamu wa afya wamesema joto kali hushusha uwezo wa kende kuzalisha mbegu za kiume na hivyo kuchangia ongezeko la wanaume wagumba maeneo yenye hali hiyo.

Hayo yamesemwa siku moja tangu gazeti hili lichapishe habari kuhusu yaliyogundulika miaka miwili tangu kuanza kwa maandalizi ya upandikizaji mimba kwa njia ya IVF katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambapo asilimia 50 ya wagumba walikuwa ni wanaume.

Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi kutoka hospitali ya Saramani Ilala, Dk Abdul Mkeyenge alisema ili mbegu za kiume zizalishwe vizuri, hazihitaji kiwango kikubwa cha joto.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.