Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Ndege yashika moto ikipaa

Watu zaidi ya 20 wamejeruhiwa baada ya ndege ya Shirika la American Airline Boening B767 Flight number 383 iliyokuwa ikitokea Chicago kuelekea Miami imeungua moo. Injini ya kulia ya ndege hiyo imelipuka wakati ikijiandaa kupaa katika uwanja wa ndege wa O’Hare.

Viongozi wa ndege hiyo wanasema kuwa abiria saba na mhudumu mmoja walijeruhiwa lakini walikimbizwa hospitali kwa uchunguzi.

Hata hivyo baadaye uongozi wa ndege hiyo ulisema kuwa watu zaidi ya 20 walikimbizwa hospitali.