Ukweli kuhusu tatizo la nguvu za kiume

Muktasari:
- Tatizo la nguvu za kiume linazidi kukua kila uchwao, huku wanaume wengi wakishindwa kujua chanzo na njia za kukabili tatizo hilo.
Dar es Salaam. Tatizo la nguvu za kiume linazidi kukua kila uchwao, huku wanaume wengi wakishindwa kujua chanzo na njia za kukabili tatizo hilo.
Wataalamu wanasema tatizo hilo limetofautiana baina ya mwanaume mmoja na mwingine. Wapo wasiosimamisha kabisa, wanaosimamisha ila nguvu hafifu, wanaofika kileleni haraka chini ya dakika moja na aina ya mwisho ni wale wanaochelewa kufika kileleni ambao wanaweza hata kutumia dakika 15.
Katika kukabiliana na tatizo hilo, wengi wamekuwa wakitumia baadhi ya vitu malengo ya kuongeza nguvu za kiume ikiwemo karanga mbichi, mihogo mibichi, vipande vya nazi, supu ya pweza, alkasusu na mengineyo.
Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.