PRIME Watu hawa hatarini kuugua bawasiri Ugonjwa huu huathiri hadi asilimia 40 ya watu wazima, hasa walio na umri wa zaidi ya miaka 50.
PRIME Mbinu saba za kukuza uwezo wa akili, kufikiri Kuna tabia na mazoezi yanayoweza kusaidia na kukuza uwezo wa akili, na kwamba endapo yatazingatiwa, yanaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa mtu kupata magonjwa ya akili.
PRIME Watumiaji ‘energy drinks’ waja na mapya Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu na ripoti mbalimbali za afya, matumizi ya mchanganyiko huo si tu hayana msingi wa kisayansi, bali yanaweza kuwa na madhara makubwa kiafya.
Wazee 60+ wakae chonjo, magonjwa haya hatari kwao Kwa Tanzania na nchi nyingine duniani umri wa uzee ni miaka 60 kuendelea. Kitabibu umri huu ni moja ya kihatarishi cha kupata magonjwa yasiyoambukiza.
Usiruhusu simu kudhuru maisha yako Hata hivyo, matumizi yake yasiyo sahihi yanatajwa na wataalamu wa afya kuwa na hatari kubwa kwa afya ya binadamu, ikiwa ni pamoja na kuhusishwa na magonjwa yasiyoambukiza kama vile saratani ya...
Kukithiri udumavu Afrika kwawaibua wadau Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA), na Mtandao wa Asasi za Kiraia zinazohusika na masuala ya lishe ( ESA SUN CSN), wamesaini mkataba wa miaka mitano wenye lengo la...
Akili unde kusaidia matibabu ya afya ya akili Kutambua hatua za haraka ili kutibu tatizo linalokusumbua ni moja ya njia inayoweza kukusaidia kuwa salama.
PRIME Tunahitaji makongamano ya kitaifa kujadili maadili ya Taifa Makongamano ya aina hii yanapaswa kuwa endelevu tukizingatia kwamba hilo ndilo kongamano mama la makongamano yote.
PRIME Sababu mikoa 10 kuwa kinara wanafunzi kuacha shule Kwa mujibu wa takwimu hizo jumla ya wanafunzi 158,374 waliacha shule za msingi na wengine 148,337 wakiacha sekondari mwaka 2023.
PRIME Huu ndio umuhimu wa elimuhisia kwenye mfumo wa elimu Watafiti wa eneo hili la hisia wanatuambia kuwa hisia, kama eneo muhimu katika makuzi, ni zao la uhusiano wa karibu baina ya mtoto na mzazi wake. Miaka ya mwanzo ya maisha ya mtu inajenga msingi...
Takwimu ya watalii wanaofika nchini yapaa Ongezeko hilo ni kutoka watalii 922,692 mwaka 2021 hadi kufikia watalii milioni 2.41 mwaka 2025 huku idadi ya watalii wa ndani nao wakiongezeka kwa asilimia 307.9 kutoka watalii watalii 788,933...
Ifanye ndoa yako kuwa sehemu ya uchumi Ndoa ni mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi ambapo pande mbili zinakuja pamoja kwa makubaliano ya wazi au ya kimyakimya kuhusu kazi, mapato, matumizi na mustakabali wa familia.
Mbinu kumuandaa mtoto wa kiume kuwa baba mwema Mzazi anapaswa kuwa makini katika matendo yake, lugha anayotumia, na jinsi anavyoshughulika na changamoto mbalimbali.
PRIME Wengi huoa, kuolewa nje ya machaguo yao Unajua kuna watu wameoa au kuolewa na wenza waliotafutiwa na wazazi wao?
Mwenza wako ana gubu, mpenda lawama? Katika muktadha wa makala haya, lawama ni hali ya kumtupia mwenza au mpenzi mzigo wa makosa, matatizo au hali mbaya inayojitokeza katika ndoa au uhusiano.
Wanaume tusijifanye poa kumbe tunaangamia Leo, naomba kuwakumbusha wanaume wenzangu kitu kimoja: tujuliane hali, tena tujuliane hali kwa dhati.
Kwa nini umfiche mwenza wako kipato? Mwenye kuficha siri hana uhuru wala amani moyoni. Mwenye kutunza siri inayoweza kuivunja ndoa yake hana tofauti na mgonjwa wa saratani.
PRIME Hizi ndizo aina za waume, uko kundi gani? Kwa kuisoma makala haya utajigundua kuwa wewe ni mume wa aina gani (kama wewe ni mume) na labda pia utamgundua mume wako yuko kundi gani kwa kuangalia namna tabia yake ilivyowakilishwa...
Zambia yaonesha mfano, watoto wapatiwa kinga dhidi ya malaria Katibu Mkuu wa Taasisi ya Umoja wa Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mapambano dhidi ya Malaria (ALMA), Joy Phumaphi, amesema taasisi hiyo imepiga hatua kubwa katika kusaidia nchi mbalimbali barani...
TMDA watakiwa kufika vijijini Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetakiwa kufika katika maeneo ya vijijini ili kutoa elimu kwa wauzaji na wamiliki wa maduka ya dawa muhimu kuhusu sheria, taratibu na vigezo vinavyopaswa...