Ushindi Mkubwa ni Rahisi Ukicheza Kasino

Sloti ya 3 dancing Monkey kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inaweza kukupa TV mpyaa aina ya Hisense yenye ukubwa wa ich 55, ili kuwa mshindi wa promosheni hii unapaswa kucheza mara nyingi Zaidi ya wengine.

Promosheni hii ya kijanja ambayo ni maalum kwa ajili ya kufunga mwezi Mei na kuukaribisha mwezi wa mavuno Juni, imeanza Mei 22 , 2023 mpaka Mei 31, 2023, mshindi atatangazwa Juni 1, 2023.

Mshindi wa promosheni ya mchezo wa 3 dancing monkey atapatikana kwa kuangalia idadi kubwa zaidi ya michezo na dau alilotumia kucheza mchezo wa kasino ya mtandaoni. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.


Njia za Kucheza na Kushinda 3 dancing Monkey


“3 dancing Monkey” ni mchezo wa karata kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, mchezo huu hautumii kadi badala yake unatumia herufi mfan A, J, Q na K kila herufi ina kiwango chake cha malipo.

Ili kushinda mchezo huu unapaswa kuanza kwa kuweka dau lako unalotaka huku dau la chini ni kuanzia 750 na la juu Zaidi ni Tsh 350,000/=, malipo yanatokana na mstari wa kulia na kushoto endapo karata itadondokea kwenye herufi kati ya A, J, Q, na K.

Mbali na hayo mchezo huu unakupatia mizunguko kuanzia 1 mpaka 5000x ya bure kadri uchezavyo na mizunguko hii ipo ya aina tatu ikitokea alama ya Wild inakupa machaguo yenye rangi ya kijani, buluu na nyekundu kila moja inakulipa kulingana na ushindi wako ambapo ushindi wa juu kabisa ni 12,077x odds

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti na michezo ya kasino kama Poker, Aviator, Roulette.

N.B: Jambo kubwa jingine ni kwamba, Meridianbet wanakupa mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kwa mteja mpya baada ya kuji­sajili. Unasubiri nini ingia mchezoni kufurahia ofa hizi.