Polisi yashutumiwa kushikiliwa Toyota Probox Kagera, RPC ajibu
Bukoba. Wakati Robert Razalo, mkazi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, akisimulia anayopitia baada ya gari lake aina ya Toyota Probox kushikiliwa kituo cha polisi likidaiwa kuwa la wizi, jeshi...