Idadi watoto wanaozaliwa na matatizo ya kiafya yaongezeka Tanzania Imeelezwa kuwa, takwimu za afya zinaonesha kuwa, kila wiki watoto watano mpaka saba huzaliwa na utumbo ukiwa nje
Mfahamu simba ‘Tundu Lissu', historia yake Simba ‘Tundu Lissu’ (7) alizaliwa Januari mosi, 2018, Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam, eneo la Mwasonga katika Wilaya ya Kigamboni.
Wataka bima ya afya ihusishe taulo za kike Serikali ya Tanzania imetakiwa kuandaa mpango utakaojumuisha upatikanaji wa taulo za kike katika bima ya afya, hasa kwa wanawake wanapokwenda kupata matibabu hospitali.
Kikwete ataka Watanzania kukiuza Kiswahili Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 10 ya Watetezi wa Kiswahili Tanzania (WAKITA), Kikwete alisisitiza umuhimu wa kusoma vitabu kwa matumizi fasaha ya Kiswahili.
Kuvuta gundi kunavyoweka rehani maisha ya waraibu Gundi inayotajwa hutengenezwa kwa kutumia kemikali, miongoni mwa hizo zina viambata vyenye kulevya, kwa mujibu wa Dk Patrick Mfisi, kamishna wa kinga na tiba wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana...
Jukumu la kutunza mazingira wajibu wa kila mtu “Safari kuelekea mustakabali wenye urafiki na mazingira,” hii ni mada itakayojadiliwa kesho kwenye Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL).
Miaka 11 bila Bi Kidude “Yalaiti napenda pasi kifani tofauti sikutilii moyoni sikuachi leo na kesho peponi…” ni sehemu ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo uitwao Yalaiti, wa Fatma Binti Baraka ‘Bi Kidude’.
Wiki ya Abaya, Hina, Kanzu maandalizi ya Eid EL Fitri Baada ya takribani siku 27 za mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, mawazo ya Waislamu wengi kwa sasa yanaelekezwa kwenye sikukuu ya Eid El Fitri, inayotarajiwa kuwa kati ya Aprili 10 na 11, mwaka...
Simulizi tamu, chungu za vijana wanaopambana kujiinua kiuchumi Ukiacha simulizi ya milima na mabonde aliyopitia Beatrice Mwalingo, mbunifu wa mavazi aliyepewa cherehani na Rais Samia Suluhu Hassan, kuna simulizi nyingi za vijana wanaopambana kujiinua...
VIDEO: Nyuma ya pazia aliyepewa cherehani na Rais Samia Januari 25, 2024 itabaki kwenye kumbukumbu za Beatrice Mwalingo, kutokana na uthubutu alioonyesha kwenye ukurasa wa Instagram kwa kiongozi mkuu wa nchi kwa kutoa ombi lililojibiwa muda mfupi...