Search

123 results for Anania Kajuni :

  1. Mmoja afariki wawili walazwa Hiace ikigonga watembea kwa miguu

    Ajali hiyo imetokea leo Aprili 24, 2024 katika eneo la Mwananchi barabara ya Mahina jjini Mwanza.

    New Content Item (1)
  2. Wadau wapendekeza mambo 10 marekebisho Sera ya Mambo ya nje

    Wadau mbalimbali mkoani Mwanza wametaja mapendekezo 10 ya kufanyiwa marekebisho kwenye Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 ili kuleta tija zaidi.

  3. Muuza maji aliwa na mamba ziwani

    "Hili tukio sio la kwanza, watu wamekuwa wakikamatwa na mamba sana. Tumeshatoa malalamiko kuhusiana na hawa mamba kwa ajili ya kuja kufanyiwa utafiti ili angalau wauwawe.”

  4. PRIME Ngono, ulevi vinavyorudisha nyuma maisha ya wavuvi Ziwa Victoria

    Wakati hali ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) mkoani Mwanza ikipungua kutoka asilimia 7.2 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.7 mwaka 2021/22, ngono na ulevi vinatajwa kuwaponza wavuvi na...

  5. Polisi kusaka vijana watatu waliomlawiti mwanafunzi

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amemwagiza Ofisa Upelelezi Wilaya ya Nyamagana (OCCID) kuwatafuta vijana watatu wanaotuhumiwa kumlawiti mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16...

  6. Mateso ya saa 8 bila umeme, Tanesco yatoa tamko

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeeleza kuwa imetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirishia umeme ya gridi ya Taifa.

  7. Misungwi wafunga maduka wakilalamikia ushuru

    Baadhi ya wafanyabiashara wilayani Misungwi mkoani Mwanza wamefunga maduka yao kwa kile wanacholalamikia ushuru wa huduma unakusanywa pasipo utaratibu maalumu.

  8. Kaya 1,404 kufidiwa kupisha uwanja wa ndege Mwanza

    Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka saba tangu 2017, uliibua sintofahamu miongoni mwa wanaomiliki maeneo katika kata hiyo

  9. Mgomo ulivyowanufaisha wasafirishaji mizigo, huduma yarejea

    Baadhi ya abiria wasema abiria bado ni wengi usafiri ni changamoto, bajaji zikifungiwa sio sahihi

  10. Wamiliki daladala Mwanza waukana mgomo, Serikali yatoa maagizo

    Sababu kuu ni madereva wa daladala kukerwa na wenye bajaji wakidai wanawachukulia wateja wao.

Previous

Page 2 of 13

Next