Search

505 results for Beldina Nyakeke :

  1. Mvua zazamisha kisiwa Musoma, Serikali yahamishia wakazi kisiwa jirani

    Kisiwa hicho kimezama kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, ingawa hadi sasa hakuna madhara kwa binadamu zaidi ya nyumba za makazi kuzama ziwani.

  2. Mbowe asisitiza muungano wa Serikali tatu

    Amesema Watanzania lazima wasimame wadai mabadiliko ili kuondokana na changamoto za maisha, huku akidai kilio cha maisha magumu hivi sasa kiko kila sehemu nchini.

  3. Mvua yatibua shughuli ya Muungano Musoma

    Mkoa wa Mara ulipanga kusherehekea maadhamisho hayo kwa kufanya mkutano Kata ya Bweri Manispaa ya Musoma

  4. Takukuru yazuia utelekezwaji adhabu ya faini ya Sh200,000 kwa kila mwanafunzi

    Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Nchini (Takukuru) mkoani Mara, imezuia utekelezaji wa adhabu ya faini ya Sh200,000 kwa kila mwanafunzi anayabainika kuwa na simu shuleni katika shule ya...

  5. 165,000 wapata chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi Mara

    Mabinti 165,304 wenye umri wa miaka 9 hadi 14 wamepatiwa chanjo ya kuzuia ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi (HPV) mkoani Mara katika kipindi cha miaka sita iliyopita

  6. Siri kupungua matukio ya ukatili kwa watoto Mara

    Ofisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Mara, Elizabeth Mahinya amesema licha ya matukio hayo kuonekana kupungua hali bado sio nzuri, hivyo jitihada zaidi bado zinahitajika.

  7.  Mtu mmoja afariki kwa kipindupindu Musoma, saba walazwa

    “Nimeambiwa mtu mmoja amefariki na wengine saba wamelazwa, niwaagize wakuu wote wa wilaya na watu wa afya hakikisheni huu ugonjwa haufiki kwenye wilaya zenu, na kwa Musoma hakikisheni huu ugonjwa...

  8. PRIME Utata wizi taa za barabarani Mara

    Ndani ya miaka mitatu iliyopita Serikali imetumia Sh2.8 bilioni kufunga taa 608 za barabarani katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mara

  9. PRIME Mke adaiwa kumbana ‘nyeti’, kumchoma kisu mumewe hadi kumuua

    Uchunguzi wa awali umebaini kifo cha Ofisa Kilimo wa Kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara, Julius Rubambi (39) kimesababishwa na kuvuja damu nyingi kwenye majeraha yaliyotokana na kuchomwa...

  10. Mke adaiwa kumuua mumewe kwa kumchoma kisu

    Mtuhumiwa wa mauaji aliyepoteza fahamu katika ugomvi kati yake na mumewe, anaendelea na matibabu

Previous

Page 2 of 51

Next