Search

572 results for Daniel Mjema :

  1. PRIME Aliyemuua baba yake wa miaka 80, kumzika ahukumiwa kifo

    Hukumu dhidi ya Erick Thomas imetolewa leo Aprili 17, 2024 na Jaji Deo John Nangela wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, ambaye katika hukumu hiyo alinza kwa kunukuu mstari wa Biblia “Na watoto...

  2. Hivi kweli Rais anatukanwa polisi mpo kimya?

    Wiki iliyopita, tumemsikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akisema wapo watu, wakiwamo mawaziri wanaowalipa watu fedha ili kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan mitandaoni, najiuliza hivi...

  3. PRIME Hivi ndivyo alivyomuua bodaboda aliyesoma naye na kumpora pikipiki

    Jaji amhukumu kunyongwa hadi kufa, wenzake wawili chupuchupu

  4. Rufaa dhidi ya Mbunge Gekul, hukumu leo

    Mbunge huyo alikuwa anakabiliwa na shtaka moja la shambulio

  5. PRIME Aliaga anakwenda kuleta mke, akarudi na maiti za ndugu zake wawili aliowaua

    Jaji Gladys Barthy wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara katika hukumu yake aliyoitoa Aprili 8, 2024 na nakala yake kupatikana katika mtandao wa mahakama leo Aprili 14, amemhukumu...

  6. PRIME Jinsi Dola 3,900 zilivyomtupa jela bosi wa  kampuni ya Utalii Arusha

    Mkurugenzi huyo akamuomba Mogasati kulipa ada hizo kwa masharti kuwa angezirejesha fedha hizo mara tu akaunti yake ikifunguliwa na Serikali, hivyo Mogasati akalipa Dola 7,800 za Marekani, sawa na...

    New Content Item (2)
  7. PRIME  Mahakama yabariki Polisi watatu kumshitaki IGP

    Polisi hao wa zamani waliokuwa wakifanya kazi uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam ni Rabson Mosha na Amelda Honga waliokuwa na cheo cha Koplo na Denice...

  8. PRIME Baba aua mtoto wa kambo, amzika kwenye shimo la takataka

    Hukumu imetolewa na Jaji Karayemaha ikizingatia ushahidi wa mkewe na maelezo ya mshtakiwa mwenyewe.

  9. PRIME Mgomo wa madaktari Kenya wakimbilia nchini

    Wagonjwa raia wa nchini Kenya wameanza kuingia Tanzania kutafuta huduma za matibabu kutokana na mgomo wa madaktari na maofisa tabibu wa hospitali za umma nchini humo unaoendelea, huku idadi ya...

  10. PRIME Bodaboda watatu kunyongwa kwa kumuua abiria kwa nondo

    Waliohukumiwa kunyong’wa hadi kufa ni Yohana Mwambeleje aliyekuwa mshitakiwa namba moja ambaye simu ya marehemu aliyoiiba na kuiuza ndio iliyowakamatisha wenzake ambao ni Andrea John na Rogers...

Previous

Page 2 of 58

Next