TAEC ilivyookoa maisha ya watu dhidi ya mionzi Tume ya Nguvu za Atomic Tanzania (TAEC) imezuia matukio 17 yaliyohusiana na mionzi ambayo yalikuwa na uwezekano wa kuleta madhara
Wafugaji wataka bima ya mifugo Wafugaji wameomba kuwe na bima ya mifugo iwapo watakufa au kupata ajali, ambayo itafungua fursa zaidi za soko la ajira katika mnyororo wa thamani.
Vijana wapewa ‘mchongo’ sekta ya kilimo Vijana wametakiwa kujitokeza kuwekeza kwenye sekta ya kilimo kwa kujiunga katika vikundi, ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa urahisi, uzoefu na elimu ya kifedha.
Majaliwa ataka ufugaji wa kisasa, kilimo chapigiwa chapuo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekitaka Chama cha Wafugaji Tanzania kutoa elimu ya ufugaji kwa wanaojishughulisha na sekta hiyo ili waifanye kitaalamu.
PRIME Ukifanya haya unaathiri makuzi ya mtoto wako Kila mtoto ana ndoto ya kuishi maisha mazuri bila kujali anatokea katika familia ya maisha aina gani, iwe ya kitajiri, kati hata ya kimasikini, ndiyo maana wapo wanaopambana tangu wakiwa wadogo.
Waokota chupa za plastiki wakatiwa bima ya afya Amesema uzalishwaji wa chupa za plastiki ni mkubwa lakini urejeshwaji wake umekuwa na changamoto, hususani kwenye chupa za rangi ambazo waokotaji hawazichukui kutokana na gharama yake kuwa ndogo.
Taasisi ya HakiElimu yatoa mapendekezo matano kwa Serikali Taasisi ya HakiElimu imetoa mapendekezo matano kwa Serikali inapoelekea katika upangaji wa bajeti ya sekta ya elimu kwa mwaka wa fedha 2024/25 ambayo ni kuhusu bajeti ya uajiri na mafunzo ya...
Mbunge wa CCM, wadau washauri tatizo la vivuko Kigamboni Wananchi wa Kigamboni wameeleza uchache wa vivuko ni sababu ya kushindwa kuvuka kwa wakati hali inayojitokeza nyakati za usiku na asubuh. Wametoa mapendekezo ya nini cha kufanyika kumaliza tatizo...
Rais Mwinyi atia neno Kombe la Muungano Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amesema ni wazo zuri aliloamua Rais Samia Suluhu Hassan kurudisha kombe la Muungano kwani watakuwa wamethamini Muungano kwa kurudisha kombe hilo hivyo...
Rais Samia azindua vitabu kuhusu Muungano, agusia Baraza la Mawaziri Rais Samia Suluhu Hassan amezindua vitabu viwili kuhusu Muungano akitaka vitafsiriwe kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza kuwezesha Watanzania na wageni kuvielewa.