Adaiwa kumuua baba yake mkubwa Rombo, mgogoro wa ardhi watajwa
Mzee mwenye umri wa miaka 75, Mkazi wa Mbomai juu, kata ya Tarakea Motamburu, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro, Thomas Silayo ameuawa kwa kutenganishwa mguu na mkono wakati wa kusuluhisha...