Search

56 results for Ombeni Mjema :

  1. Hatimaye mwanafunzi Godwin azikwa, mamia wamwombeleza

    Mamia ya waombolezaji wamejitokeza kwenye maziko ya Godwin Msack (17) ambaye alikuwa mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Kisomachi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.

  2. Ofisa wa zamani JWTZ apigania haki miaka 30

    Mahakama Kuu ya Tanzania, masjala kuu Dar es Salaam, imekubali maombi ya kupata amri ya Mahakama ya kibali cha kuongezewa muda wa kufungua maombi ya mapitio ya uamuzi wa mwajiri kusitisha ajira...

  3. Bosi wa Bawacha aibua jambo ripoti za CAG

    Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), CPA Catherine Ruge amesema asilimia 99 za hoja za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimetokana na fedha...

  4. Ofisi ya CAG, DPP ziunganishwe “ziwashughulikie wapigaji”

    Kwa mujibu wa mchambuzi huyo, endapo ofisi hizo zikiunganishwa itakuwa rahisi kuanzisha uchunguzi mara moja pindi tu ripoti hiyo inapotolewa badala a kusubiri Rais wa Tanzania ndio aseme.

  5. Sabaya akiri makosa, aachiwa kwa masharti

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, imemuachia kwa masharti ya kutofanya kosa la jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja na kulipa fidia ya Sh5 milioni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...

  6. Sabaya afikishwa Mahakama Hakimu Mkazi Moshi leo

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefikishwa kwa mara nyingine tena leo April 5, 2023 katika Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi.

  7. TPC yavunja rekodi ya uzalishaji kwa miaka 93

    Kipindi cha mwezi Juni mpaka Machi mwaka huu wameweza kuzalisha miwa tani 1,150,000 ambazo ziliweza kuzalisha sukari tani 116,500 ikiwa ni kiwango cha juu kabisa kulinganisha na miaka mingine.

  8. Upelelezi kesi ya uhujumu uchumi Sabaya ushahidi umekamilika

    Baada aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, mkoani Kilimanjaro kusota kwa takribani siku 302 rumande kwa kesi namba 2 ya hujumu uchumi pamoja na utakatishaji wa fedha upande wa...

  9. Miaka miwili ya Samia ilivyoleta neema Kilimanjaro

    Serikali Mkoani kilimanjaro imepokea zaidi ya Sh600 bilioni ambazo zimetumika katika miradi 717 ya maendeleo mkoani Kilimanjaro ikiwemo katika sekta ya afya, elimu, miundombinu pamoja na...

  10. Watakaochoma Mlima Kilimanjaro kukiona

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameitaka Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (Kinapa) kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaobainika kufanya ujangili, uharibifu wa mazingira...

Previous

Page 2 of 6

Next