Amuua baba yake akimtuhumu mchawi "Kijana huyo anadaiwa kumuua baba yake Menard Msongole (80) maarufu kwa jina la Gaga kwa tuhuma za ushirikina kwa kumpiga na kitu kizito kichwani," amesema RPC Mallya
Ras Songwe agoma kukagua mradi bila nyaraka Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda, amewajia juu watendaji katika Halmashauri ya Mji Tunduma, baada ya katika eneo la miradi bila na hivyo kusababisha ukaguzi kukwama.
Taharuki mgomo wa mabasi Mbeya, Tunduma Ofisa wa Latra Mkoa wa Songwe, Joseph Bulongo amekiri kuwapo mgomo huo licha ya mamlaka hiyo kuwasihi wasigome badala yake wasubiri Oktoba 17 ambayo ni siku ya kutoa maoni yao mbele ya Mamlaka ya...
Foleni ya malori Tunduma yageuka fursa Halmashauri ya Mji Tunduma, Wilaya ya Momba Mkoani Songwe imeamua kuigeuza kero ya mrundikano wa malori katika mji huo na kuwa fursa ya kiuchumi kwa kuanza kujenga hoteli na eneo la maegesho ili...
Baba auwa mke, mtoto wa miezi sita kwa kuwanyonga Jeshi la Polisi Mkoa Songwe linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Kaloleni katika Wilaya Songwe akituhumiwa kuwauwa mke na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita.
PRIME Polisi, TRA warushiana mpira foleni ya malori Tunduma ukithiri kwa msongamano wa magari katika mpaka wa Tunduma kwa takribani wiki mbili sasa, imetajwa kuwa imesababishwa na ukosefu wa uadilifu kutoka kwa wasimamizi wa eneo hilo huku vitendo vya...
Watoto 400,000 kupatiwa chanjo ya polio Songwe Serikali imesema mikoa sita nchini itatoa chanjo ya Polio ya Matone kuanzia Septemba 21 hadi 24, 2023.
Wafanyabiashara walalamika foleni ya malori Wafanyabiashara mkoani Songwe wamelalamikia foleni ya magari katika Barabara ya Tanzam kutoka Mbeya kwenda Tunduma kuwa inachelewesha mzunguko wa biashara.
Wahitimu JKT waonywa kulinda viapo vyao Vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika Kambi ya 845KJ lililopo Itaka wilayani Mbozi, Mkoa wa Songwe, wameaswa kutunza afya zao ili waweze kulitumikia vema Taifa ipasavyo.
Mbwa wamegeuka kero Mbozi Baadhi ya wakazi wa mji wa Vwawa, wilayani Mbozi; mkoa wa Songwe, wamedai wanaishi kwa hofu kufuatia kundi la mbwa linalozurura mtaani nyakati za mchana.