PRIME Profesa Sarungi atakavyoishi kwenye kumbukumbu za watu Shuhuda za huduma za matibabu, hasa za kuwaunganisha mifupa Watanzania mbalimbali, zinamfanya Profesa Philemon Sarungi aendelee kuishi mioyoni mwa watu, wakati leo Jumatatu, Machi 10, 2025...
Zitto: Mzee Sarungi asingekubali kuahirisha mechi ya Yanga, Simba Dar es Salam. Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kama Mzee Philimon Sarungi angekuwa hai, angekemea kwa ukali uamuzi wa kuahirisha mechi ya Dabi kati ya...
Waombolezaji waanza kuwasili Karimjee kumuaga Profesa Sarungi Viongozi wastaafu wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio waliofika hadi sasa katika Uwanja wa Karimjee, Dar es Salaam kutoa heshima za mwisho kwa daktari, mwanasiasa, na waziri wa zamani...
Walichokisema Zitto, Lissu msibani kwa Profesa Sarungi, Kikwete amtania Lissu Waombolezaji wameendelea kuhani msiba wa kiongozi na mwanataaluma hayati Profesa Philemon Sarungi, aliyefariki dunia jioni ya Machi 5, 2025 nyumbani kwake Oysteybay jijini Dar es Salaam kwa...
PRIME Sura tofauti za Profesa Sarungi Profesa Philemon Sarungi, gwiji wa tiba ya mifupa nchini Tanzania, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 89, huku historia yake ikibaki kuwa mwanga kwa vizazi vijavyo.
Serikali yamkataa hakimu kesi za ACT-Wazalendo, mwenyewe kutoa uamuzi leo Hivyo, Hakimu Kahungu atatoa uamuzi wake iwapo hoja hizo za mawakili wa Serikali, ambazo zilipingwa na mawakili wa ACT-Wazalendo, zina mashiko au la.
PRIME Mtatiro atia neno ‘Golden Standard’ uchaguzi wa Chadema Ukweli ni kwamba, mmefanya uchaguzi wenu na kumaliza salama na mshindi ametangazwa!
Dorothy ajitosa kupambana na Samia Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu, akitaja mambo manne yaliyomsukuma kuitaka...
PRIME CUF yamtimua Mbunge wake, mwenyewe asema… Chama cha Wananchi (CUF), kimemfuta uanachama mbunge wake wa Mtambile visiwani Pemba, Seif Salim Seif kwa kile kilichodaiwa amekisaliti chama hicho na kukiunga mkono chama tawala cha CCM.
PRIME Mbowe, Lissu wanavyoipitisha Chadema mstari wa kifo majaribio mawili makubwa. La kwanza ni aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Tanzania Bara), Chacha Wangwe kukusudia kumng’oa Mbowe kwenye uenyekiti. Kipindi hicho Mbowe alikuwa na muhula mmoja ofisini.