Wakulima wa korosho watakiwa kutotumia fedha kwa unyago Wakati msimu wa korosho ukielekea ukingoni, wakulima wa zao hilo wametakiwa kutumia vizuri fedha walizopata kwa kununua chakula, kuboresha makazi na mahitaji mengine muhimu ikiwemo sare za...
Serikali yatoa Sh40 bilioni kuboresha huduma za afya Lindi Serikali imetoa zaidi ya Sh40 bilioni kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya sekta ya afya kwa mkoani hapa ikiwamo kukarabati vituo vya afya 30, zahanati 262 na hospitali 11.
Vijiji Ruangwa kunufaika na mradi wa maji Lindi Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainabu Telack amewataka wananchi kutunza vyanzo vya maji, kwa kuacha kukata miti ovyo pamoja na kwenda kunywesha mifugo kwenye vyanzo vya maji. Akizungumza leo...
Majeruhi 17 ajali ya basi watoka hospitali "Ajali hii ilianzia mbali, baada ya dereva kuona breki inafeli akamwambia kondakta wake aweke jiwe, lakini ilishindika na kusababisha gari kuteremka hadi kugonga mti ambao ulikuwa na nyuki na...
Nyuki walivyoibua taharuki ajali ya basi, vifo vyafikia 15 "Nyuki hao wapo siku zote ila baada ya kutokea ajali walianza kung'ata watu, tulilazimika kununua dawa ya kuulia wadudu pamoja na kuchoma matairi.
Nyuki wachelewesha uokoaji ajali ya basi ikiua watu 14 Lindi Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi likithibitisha kutokea kwa ajali ya basi iliyoua watu 14 na majeruhi 26 eneo la Mtama mkoani humo, mashuhuda wamesema nyuki walichelewesha uokoaji wa baada ya...
Wananchi wasota siku 21 bila kivuko Wakazi wa Kata ya Kitumbikwera katika manispaa ya Lindi, wameiomba Serikali kuharakisha matengenezo ya kivuko kilichopo katika eneo lao ili waendelee na shughuli za uzalishaji mali.
PSSF yatumia Sh80 bilioni kulipa wastaafu Kusini Halmashauri zilizopo katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma, zimetajwa kukabiliwa na changamoto ya kutowasilisha michango ya watumishi wao kwa wakati na hivyo kuchelewesha malipo ya wastaafu.
Majaliwa kufungua mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Mkutano Mkuu wa saba wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) unatarajiwa kuanzia kesho Jumatatu Novemba 12-15, 2023, mkoani Lindi.
‘Jitokezeni mafunzo ufundi stadi’ Licha ya kuwa na vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi mkoani hapa, imeelezwa kuwa bado kuna mwamko mdogo wa vijana kujiunga na vyuo hivyo.