Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1444 results for Janeth Joseph :

  1. VIDEO: Ndege yashindwa kufika eneo la moto mlima Kilimanjaro

    Ndege ya Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) iliyokuwa imebeba kamati ya usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro imeshindwa kufika na kufanya tathimini ya athari ya moto katika eneo la Karanga Camp...

  2. Jitihada kuuzima moto mlima Kilimanjaro zaendelea

    Askari zaidi 300 wamepelekwa katika mlima Kilimanjaro kuudhibiti moto uliozuka jana Ijumaa usiku katika eneo la Karanga Camp lililopo mita 3963 kutoka usawa wa bahari.

  3. VIDEO: Moto wazuka mlima Kilimanjaro

    Kamishina wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi Tanzania (Tanapa), William Mwakilema amesema vikosi vinaelekea kuuzima moto huo.

  4. Maadhimisho ya uhuru kufanyika kilele cha Kilimanjaro

    Kaimu Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (Kinapa), Imani Kikoti amesema maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tanganyika yatafanyika katika kilele cha mlima Kilimanjaro.

  5. RC Babu awapa maagizo wakuu wa wilaya Kilimanjaro

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewaagiza wakuu wa wilaya zinazopakana na nchi jirani za mkoa huo kuhakikisha wanachukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola ambao umeutikisa nchi jirani...

  6. Upelelezi kesi ya Sabaya bado

    Wakati aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akiendelea kusota mahabusu kwa siku 132 sasa tangu afikishwe mahakamani, mwendesha mashtaka wa Serikali, Kassim Nassir amesema upelelezi...

  7. Kesi ya Sabaya yaahirishwa mara 10

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa kwa mara ya 10 leo Oktoba 10, huku Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Kassim...

  8. Waliosoma Old Moshi kukutana shule ikiadhimisha miaka 100 tangu ianzishwe

    Shule ya Sekondari ya Old Moshi iliyopo wilaya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro itatimiza miaka 100 Oktoba 20, 2022 siku ambayo itawakutanisha viongozi wa kada mbalimbali wa serikali pamoja na...

  9. Wananchi Rombo waomba kupimiwa ardhi

    Wananchi wa Kata ya Tarakea Motamburu, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wameiomba serikali kuharakisha urasimishaji wa maeneo yao ili kupunguza migogoro ya mipaka ambayo imekuwa ikiwatesa kwa...

  10. Aliyeua wawili Shinyanga naye auawa

    Mtu huyo anayedaiwa kuwa na tatizo la akili, alivamia katika nyumba ya mtu na kuanza kushambulia watu kwa kitu cha ncha kali na mwenye nyumba alipofika alipigwa kichwani na kufariki hapo hapo.

Previous

Page 101 of 145

Next