Upelelezi kesi ya Sabaya bado Wakati aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akiendelea kusota mahabusu kwa siku 132 sasa tangu afikishwe mahakamani, mwendesha mashtaka wa Serikali, Kassim Nassir amesema upelelezi...
Kesi ya Sabaya yaahirishwa mara 10 Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa kwa mara ya 10 leo Oktoba 10, huku Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Kassim...
Waliosoma Old Moshi kukutana shule ikiadhimisha miaka 100 tangu ianzishwe Shule ya Sekondari ya Old Moshi iliyopo wilaya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro itatimiza miaka 100 Oktoba 20, 2022 siku ambayo itawakutanisha viongozi wa kada mbalimbali wa serikali pamoja na...
Wananchi Rombo waomba kupimiwa ardhi Wananchi wa Kata ya Tarakea Motamburu, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wameiomba serikali kuharakisha urasimishaji wa maeneo yao ili kupunguza migogoro ya mipaka ambayo imekuwa ikiwatesa kwa...
Aliyeua wawili Shinyanga naye auawa Mtu huyo anayedaiwa kuwa na tatizo la akili, alivamia katika nyumba ya mtu na kuanza kushambulia watu kwa kitu cha ncha kali na mwenye nyumba alipofika alipigwa kichwani na kufariki hapo hapo.
Wafanyabiashara 15 watelekeza vibanda soko Tarakea Vibanda hivyo vya halmashauri vimeachwa na wafanyabaishara hao kutokana na kuzagaa ovyo kwa uchafu unaotokana na dampo ambalo lipo mbele ya vibanda hivyo zaidi ya 15.
TCB kuongeza uzalishaji wa kahawa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), imesema imejipanga kuongeza uzalishaji wenye tija wa zao la kahawa hapa nchini kutoka tani 70,000 hadi kufikia tani 300,000 ifikapo mwaka 2025.
Mfanyabiashara afungua kesi kuzuia kadi, michango ya harusi Moshi Mfanyabiashara maarufu wilaya ya Hai, James Mushi amefungua maombi madogo akiiomba mahakama hiyo itoe zuio la kusitisha usambazaji wa kadi na michango ya harusi ya mtu anayedaiwa kutumia jila...
Mahakama ya Afrika yatoa hukumu 17, sita za Tanzania Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeweka rekodi kwa mara ya kwanza baada ya kutoa uamuzi wa hukumu 17 kwa mpigo tangu kuanzishwa kwake miaka 15 iliyopita.
Majaliwa awataka viongozi kulinda amani Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watendaji na viongozi wa Serikali kuhakikisha wanawajibika kulinda amani na kubaini viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvidhibiti kabla ya...