Mwenge wa Uhuru kupokewa Kilimanjaro Juni 6 Wakati Mwenge wa Uhuru ukitarajiwa kupokewa Mkoani Kilimanjaro Juni 6 mwaka huu Mkuu wa Mkoa huo,Stephen Kagaigai amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuupokea huku akiwahakikishia usalama wa...
Sabaya amkataa mwendesha mashtaka Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amemkataa Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).
Wanafunzi watumia kivuko cha mawe Wanafunzi wanaosoma shule ya Sekondari Sawe ,iliyopo katika kijiji cha Kyeer ,Kata ya Machame Magharibi ,Wilaya ya Hai ,mkoani Kilimanjaro wanalazimika kutumia kivuko cha mawe ili kuvuka mto...
Sabaya afikishwa mahakamani Moshi kufunguliwa kesi mpya Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa kesi mpya.
Mwenyekiti Chama cha Walimu Rombo auawa Mwenyekiti wa Chama cha Walimu(CWT) Wilaya ya Rombo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Boma iliyopo Tarafa ya Mkuu Wilayani humo,Turo Hiza amekutwa ameuawa na kisha mwili wake kutelekezwa...
KIA yajipanga kupokea idadi kubwa ya watalii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) umejipanga kupokea idadi kubwa ya wasafiri wakiwemo watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wapatao milioni 1.2
Serikali yatoa Sh2 bilioni kukamilisha mradi wa maji Miwaleni Katika kukabiliana na uhaba wa maji katika eneo la Njia panda, Mji mdogo wa Himo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro Serikali imetoa zaidi ya Sh2 bilioni kwa ajili ya kukamilisha mradi wa maji wa...
RC Kilimanjaro awapa agizo DC, DED Hai Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amewaagiza Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC), Juma Irando na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo (DED) kuhakikisha ujenzi wa mradi wa shule mpya ya sekondari...
Watoto milioni 10 kupata chanjo ya polio Wizara ya Afya inatarajia kutoa chanjo kwa watoto zaidi ya milioni 10.5 ili kukabiliana na virusi vya polio nchini.
Waandishi wa habari watakiwa kutangaza vivutio Kilimanjaro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Stephen Kagaigai amelitaka Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) kupitia Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) kuwatumia waandishi wa habari wa mkoa huo...