Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Mtakuwa yapunguza ukatili wa kijinsia Rombo

    Wadau wa haki za binadamu, wananchi Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro wamesema kuanzishwa kwa mpango wa Taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto (Mtakuwa) umepunguza kwa kiasi...

  2. UVCCM waomba kusimamia sensa

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kuwapa nafasi ya kusimamia sensa pindi itakapoanza.

  3. Wadau washauri mbinu zaidi madai ya Katiba

    Siku moja baada ya Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) na Mtandao wa Madeni na Maendeleo Tanzania (TCDD), kutangaza kampeni ya kukusanya saini milioni tano ili kuunga mkono mchakato wa mabadiliko...

  4. Kifo mhitimu SUA wazazi waomba msaada wa Rais

    Wakati maziko ya mwili wa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Magreth Mashuwe(22) yakifanyika juzi kwenye makaburi ya familia katika kijiji cha Shimbi mkoani Kilimanjaro, wazazi...

  5. Usafiri wa mikoani hali bado tete

    Wakati mamia ya wananchi wakiendelea kuhangaikia usafiri katika Kituo cha mabasi cha Magufuli eneo la Mbezi Luis, jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imetoa...

    New Content Item (1)
  6. Wazazi wa mhitimu SUA aliyeuawa wamwangukia Rais Samia

    Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya mhitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Magreth Mashuwe (22), huku wazazi wake wakimwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mauaji...

  7. CCM Kilimanjaro yampongeza Rais Samia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro kimetoa tamko rasmi la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia fedha za maendeleo zaidi ya Sh17 bilioni.

  8. RC Kagaigai akabidhiwa madarasa 44 Rombo

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameupongeza uongozi wa wilaya ya Rombo kwa kuwa wa kwanza kukabidhi ujenzi wa madarasa 44 yaliyotengewa fedha na Serikali Sh880 milioni ambapo...

  9. Mwanamke aliyekunywa sumu baada ya kufumaniwa azikwa

    Mkazi wa kijiji cha Kibaoni, wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Shirima (26) aliyejiua kwa kunywa sumu ya kuulia magugu (Parasnow) baada ya kufumaniwa na mume wake aitwaye Riziki Shirima...

  10. Wadaiwa sugu MRT-Saccos waonywa

    Mrajisi msaidizi wa vyama vya ushirika mkoani Kilimanjaro, Jacqueline Senzighe ametoa karipio kali kwa baadhi ya wanachama wa Saccos ya walimu Moshi Vijijini (MRT-Saccos) ambao wanadaiwa madeni...

    New Content Item (1)
Previous

Page 119 of 145

Next