Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Ulaji mayai wapungua nchini

    Kiwango cha ulaji wa mayai nchini kwa mtu mmoja kwa mwaka kimeshuka kutoka mayai 300 hadi mayai 106.

  2. Profesa Mkenda: Halmashauri 17 zina upungufu wa chakula

    Waziri wa kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema pamoja na nchi kuwa na utoshelevu wa chakula bado kuna Halamshauri 17 kwenye mikoa 8 yenye upungufu wa chakula nchini.

  3. Samia auma na kupuliza akitoa vigezo mji wa Moshi kuwa jiji

    Hotuba ya Rais, Samia Suluhu Hassan ilikuwa ni ya kung’ata na kupuliza katika masuala makuu matatu, likiwamo la kuufanya mji wa Moshi kuwa jiji, huku akitoa vigezo vya namna mji huo unavyoweza...

  4. Watanzania 940,507 wapata chanjo ya Uviko-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Jumla ya Watanzania 940,507, tayari wamepata chanjo ya Uviko-19, sawa na asilimia 88.9 ya mzigo wa chanjo uliopokelewa awali.

  5. Samia aweka jiwe la msingi jengo la mionzi KCMC

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Oktoba 16, 2021 ameweka jiwe la msingi katika jengo la mionzi Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kaskazini (KCMC), ili kuendelea na ujenzi.

  6. Askofu Shoo: Mungu amemleta Samia kuponya majeraha

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amewataka viongozi wenye mamlaka kusimama kwenye nafasi zao kwa uaminifu ili kuponya majereha ya watu.

  7. Rais Samia awaonya wananchi Kilimanjaro na Uviko-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kushangazwa na wananchi Mkoa wa Kilimanjaro, kutochukua tahadhari dhidi ya Uviko- 19, akionya kuwa ugonjwa huo bado upo na wananchi wanapaswa...

  8. Rais Samia aweka jiwe la msingi Daraja la Rau

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika Daraja la Rau, linalounganisha Moshi vijijini na Moshi mjini

  9. Samia aahidi kutatua migogoro ya ardhi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kutatua changamoto ya migogoro ya ardhi inayoukabili mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa.

  10. Wananchi Moshi wajitokeza kumpokea Rais

    Wakazi wa Wilaya ya Siha wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu Hassan katika eneo la Duch Kona, Kijiji cha Wiri kilichopo katika wilaya hiyo Mkoani Kilimanjaro.

Previous

Page 123 of 145

Next