Watoto 157 wazaliwa mkesha wa Pasaka Watoto 157 wakiwamo watatu waliozaliwa kwa pamoja, wamezaliwa katika Hospitali mbalimbali nchini kwenye mkesha wa Sikukuu ya Pasaka.
Magufuli, maaskofu wanadi amani, umoja Wakati viongozi wa dini wakikemea roho za chuki na visasi katika mahubiri ya mkesha na ibada za Pasaka, Rais John Magufuli ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuishi kwa amani na upendo.
‘Msichague watakaowafanya muishi kwa kuogopaogopa’ Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhashamu Askofu Evarist Chengula alipokuwa akiongoza ibada ya Ijumaa Kuu
VIDEO-Bei ya nyanya haishikiki kila kona Nyanya sasa ni dili. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na bei ya bidhaa hiyo kutoshikika huku mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zikitajwa kuwa chanzo cha kuadimika huko.
Ripoti uchunguzi kifo cha Akwilina yazua tafrani Muhimbili Ndugu wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, jana walisusia kwa muda kuchukua mwili wa binti huyo wakishinikiza...
Ni fainali Siha na Kinondoni Wananchi katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Siha mkoani Kilimanjaro leo wataamua nani awe mbunge wao kwa kipindi cha miaka mitatu iliyobaki kabla ya Uchaguzi Mkuu 2020.
Rais Magufuli mgeni rasmi misa ya kusimikwa Askofu mteule Jackson Ni askofu wa tano wa Kanisa Anglikana, Dayosisi ya Dar es Salaam.
Krismasi ilikuwa shwari - Polisi Msemaji wa Jeshi hilo, Barnabas Mwakalukwa alisema jana kuwa hali ilikuwa shwari japo kulikuwa matukio madogo ya uhalifu.
Shahidi: Mshtakiwa alijaribu kutoroka Koplo Derick ambaye ni shahidi wa tatu katika kesi ndani ya shauri la mauaji ya bilionea Erasto Msuya, ameiambia Mahakama Kuu Kanda ya Moshi kuwa mshtakiwa wa pili, Shaibu Jumanne alikuwa na afya...
Madai ya mateso yaibua kesi ndogo Hoja ya mshtakiwa wa saba katika kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, Ally Majeshi kuwa alitoa maelezo ya kukiri kosa baada ya kuteswa na polisi, jana iliibua kesi ndogo ndani ya kesi.