Mabadiliko ya kijamii yanavyochochea mijadala ya malezi Kila siku, tafiti mpya zinaendelea kuchapishwa zikichunguza changamoto zinazoyakumba malezi ya watoto.
Uchunguzi wabaini sababu tano kinara madai ya talaka Kasi ya ndoa kuvunjika ikiongezeka, imebainika kutengana kwa wanandoa na uzinzi ndizo sababu zinazoongoza nyingi kufikia hatua ya kutolewa talaka.
PRIME Kinachoathiri utimamu wa afya ya akili ya mtoto Mwanaisha (52) ni mama wa watoto wanne. Mwanawe wa kwanza, Bashir (28) anapitia wakati mgumu kwenye uhusiano na mchumba wake. Jitihada za kurekebisha changamoto hizo hazijafanikiwa kuleta ufumbuzi.
PRIME Tafakari haya unapotafuta msaidizi wa kulea wanao Kwa jumla, msichana wa kazi ndiye mtu anayetumia muda mwingi kukaa na mtoto kuliko mtu mwingine yeyote kwenye familia.
Kuficha ‘makucha’ kwenye uchumba kunavyotesa ndoa nyingi Juma Manyama alianza kusali kwenye moja ya makanisa kwa lengo la kuonekana kwa Happiness naye ni mcha Mungu, ili iwe rahisi kwake kuanzisha uhusiano naye.
Ndoa za ‘sogea tuishi’ na mtazamo kisheria, kijamii Unazijua ndoa za sogea tuishi? Ndoa hizi ziko hivi, yeyote kati ya mwanamke au mwanamume anahamia kwa mwenzie na kuanza kuishi kinyumba bila kufuata taratibu za kisheria, kidini au hata za kimila.
Zawadi hewa janga kwa maharusi, jamii Kupitia mitandao ya kijamii zimekuwepo video zinazowaonesha maharusi wakipokea zawadi mbalimbali kutoka wanakamati, wazazi na wageni waalikwa ambazo zimezua mjadala.
Yafahamu anayopitia mtoto asiyemjua baba Majuzi nilikutana na Salome (si jina lake halisi) akinielezea masikitiko yake ya kutokumfahamu baba yake. Salome (23), mwanafunzi wa chuo kikuu, ana maumivu makali ya kutafuta kumfahamu baba yake...
Tofautisha, ukorofi na utundu wa mtoto wako Huenda wewe ni miongoni mwa wazazi waliochoshwa na ukorofi wa watoto wao.
Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda Nilipoanza mkakati wa kuacha kutumia sukari kwenye chai au kahawa, haikuwa kazi rahisi.