Wasanii, familia wamwaga chozi wakimzika msanii Spack Tanga
Manjozi na vilio vimetawala wakati wasanii, ndugu, jamaa na marafiki wakimpumzisha aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Suleiman Vunde maarufu Spack, kwenye nyumba yake ya milele katika...