Search

520 results for Kelvin Matandiko :

  1. ACT Wazalendo walalamikia mwenendo wa SUK

    Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu, Zanzibar Charles Hilary amesema masuala yote yanayohusisha SUK yanashughulikiwa chini ya kamati ya pamoja ya umoja huo

  2. Zingatia mambo haya ufanikiwe 2024

    Pengine wewe ni mkulima, mfugaji, mhitimu, mwajiriwa, mfanyabiashara na hujajua kwa nini umekwama mipango yako kwa mwaka huu.

  3. Wazalishaji chumvi ghafi watikisa soko

    Mkuranga. Serikali imesema uhaba wa chumvi ghafi kwenye viwanda inatokana kukosekana kwa mfumo wa kuratibu usafirishaji wa bidhaa hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo, Jumanne Desemba 19,2023 na...

  4. Tanzania, Rwanda na Burundi zaanza kupata umeme wa Rusumo

    Hatimaye mataifa matatu ya Tanzania, Rwanda na Burundi yameanza kunufaika na mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati 80.

  5. Serikali  yawaita wadau kuendelea kutoa misaada kwa waathirika Hanang

    Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Serikali ya maendeleo ya hali baada ya maafa hayo, imesema idadi ya vifo imebakia ile ile 89, huku miili 87 ikitambuliwa na kuchukuliwa na familia zao kwa ajili ya...

  6. Samia ataka kufungamanishwa miradi na uzalishaji

    Rais Samia amesema kuwa jambo lingine ni kuwa na uwezo wa kubaini viashiria hatarishi na kuweka udhibiti katika matukio yanayotokea na kuathiri mwenendo wa uchumi wa Taifa, akitoa mifano ya...

  7. Majaliwa aagiza hatua mpya makutano ya barabara, reli Tanzania

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Uchukuzi kuhakikisha inafunga taa za tahadhari au kifaa kinachoruhusu na kuzuia magari kwa mfumo wa kidigitali katika kila makutano ya...

  8. Samia azindua mradi nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan ametumia dakika 15 kushawishi mataifa ya Afrika kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia kwa Wanawake Afrika (AWCCSP), katika kuleta...

  9. Dk Tulia aanza kusaka mwarobaini mgogoro wa Israel, Palestina

    Siku chache baada ya kuchaguliwa, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson ameagiza Kamati ya Masuala ya Mashariki ya Kati ya umoja huo kuanza kutafuta suluhu ya mgogoro kati ya...

  10. Alama alizoacha Askofu Kweka KKKT

    Miaka 58 ya utumishi wa Askofu mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Erasto Kweka yameacha alama nne zitakazobaki kuwa fundisho katika kukuza...

Previous

Page 4 of 52

Next