Baba ajinyonga chumbani kwa watoto baada ya kuchoka kuumwa ngiri
Aden Mwakipesile (49) mkazi wa Kijiji cha Ibindi, Wilaya ya Mpanda amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani chumbani kwa watoto wake, kwa kile kinachodaiwa kuwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa...