Polisi yachunguza kifo kijana aliyefariki nyumbani kwa DJ Polisi wamesema watafukua mwili wa kijana Jeff Mwathi kisha kuendeleza uchunguzi kuhusu kifo chake. Mwathi alifariki katika mazingira ya kutatanisha baada ya mwili wake kukutwa katika nyumba ya...
Bibi kizee acheza rhumba katikati ya mazishi Bibi kizee Francesca Ingosi wa nchini Kongo, amekuwa kivutio msibani baada ya kusakata rhumba kwenye msiba wa ndugu yake, jambo ambalo limeibua mjadala kwa watu waliokuwa wameshiriki shughuli...
Kwa nini jeli hutumika kusukia nywele? Kumekuwa na mitindo mingi ya kuboresha usukaji wa yeboyebo, huku njia mpya ambayo imekuwa ikitumiwa sana na baadhi ya wasusi ni kusukia jeli.
VIDEO:Wajawazito wakumbushwa chanjo ya polio Kesho Jumamosi Oktoba 24, 2020 ni siku ya polio duniani ambalo nchini Tanzania wajawazito wamekumbushwa kuhakikisha watoto wanaozaliwa wanapewa chanjo ya ugonjwa huo kama inavyoelekezwa na...