Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

79 results for Angetile Osiah :

  1. Wapongeza uhuru wa kamati Fifa

    Uamuzi wa kufungiwa miaka minane kwa rais wa Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter na mwenzake wa Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa), Michel Platini umetafsiriwa kwa mitazamo tofauti na...

  2. ‘Sh1.6 bilioni idaiwe wizara siyo TFF’

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeambiwa iikabe koo Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo kuhusu fedha za kodi ya makocha wa kigeni badala ya kulibebesha mzigo Shirikisho la Soka...

  3. Sh1.5 bil zatumika usajili Bongo

    Wakati timu mbalimbali za Ligi Kuu nchini zikiendelea kukamilisha usajili kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao msimu ujao, uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa mpaka sasa zaidi ya...

  4. Okwi, Okwi, Okwi!

    Mshambuliaji Emmanuel Okwi anaweza akafungiwa kucheza soka na hivyo kushindwa kuitumikia Simba aliyojiunga nayo hivi karibuni kutokana na kukiuka kanuni ya 13 ya Shirikisho la Soka la Kimataifa...

  5. Mwesigwa aahidi uwazi, Dalali, Mtawala, Dauda waula TFF

    Katibu mkuu mpya wa Shirikisho la Soka  Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa ametambulishwa  rasmi jana kuchukua mikoba ya Angetile Osiah na kuahidi kufanya kazi kwa uwazi na ushirikiano.

  6. Timuatimua kuendelea TFF

    Shirikisho la Kandanda nchini (TFF) linatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya wakuu wa idaara mbalimbali kwa lengo la kuleta kasi na ari mpya baada ya uongozi mpya kuingia madarakani.

  7. Malinzi amng’oa Osiah TFF

    >Siku moja baada ya kukabidhiwa rasmi ofisi na mtangulizi wake Leodegar Tenga, Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametangaza kumpa likizo ya malipo Katibu Mkuu wa TFF,...

  8. Furaha yageuka balaa...

    Dar es Salaam. Furaha ya kupita kiasi ndiyo iliyosababisha zaidi ya watu 20 kuzimia uwanjani wakati walipokuwa wakishuhudia mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Yanga uliofanyika juzi Jumapili...

  9. Vipaji vya soka sasa kuibuliwa Iringa

    Kituo cha kisasa cha vijana cha Iringa Football for Hope Centre kinatarajiwa kufunguliwa mwishoni mwa wiki hii mjini Iringa ikiwa ni sehemu shamrashamra za uzimwaji wa Mwenge wa Uhuru.

  10. Kazimoto awavuruga TFF, Kim

    Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limekataa ombi la msamaha la kiungo Mwinyi Kazimoto, huku kocha Kim Poulsen akisema yuko tayari kumsamehe.

Previous

Page 6 of 8

Next