Kuelekea kimbunga Ialy, wavuvi mkao wa kula, wengine wapuuzia
Wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ikitahadharisha kuhusu kimbunga Ialy kinachotarajiwa kusababisha upepo mkali nchini kesho Jumanne, Mei 21, 2024, wananchi wanaofanya shughuli zao...