Kesi sita viongozi Amcos tuhuma wizi viuatilifu zafikishwa mahakamani Kamati ya kusimamia usambazaji wa viuatilifu na vinyunyizi Tanzania imefanya ufuatiliaji katika mikoa 17 inayolima zao la pamba na kubaini baadhi ya viongozi wa Vyama vya Msingi (AMCOS)...
Watu 5 washikiliwa na Polisi tuhuma wizi mafuta SGR Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata watuhumiwa kumi (10) wa makosa mbalimbali ikiwemo wizi wa mafuta lita 302 aina ya dieseli katika mradi wa SGR.
RAS Shinyanga apambana na wizi wa dawa vituoni Katibu Tawala wa mkoa wa Shinyanga Siza Tumbo, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za mkoa wa Shinyanga kusimamia kikamilifu afua mbalimbali za mfumo wa ugavi wa bidhaa za afya.
Serikali yakabidhi pikipiki 221 Shinyanga Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Yahaya Nawanda amekabidhi pikipiki 221 kwa wakuu wa Wilaya ya Kahama, Shinyanga na Kishapu kwa ajili ya maofisa ugani kutoa huduma kwa wakulika ili wawe na kilimo...
Babu wa miaka 80 adaiwa kumbaka mjukuu wake Katika hali ya kusikitisha mzee wa miaka 80 mkazi wa Kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga, Luhende Tungwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka mjukuu wake anayesoma Shule...
Ma-DC walioapishwa watakiwa kugusa maisha ya wananchi Kaimu mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Yahaya Nawanda amewataka wakuu wa wilaya walioapishwa wakasimamie ipasavyo migogoro ya ardhi na kutekeleza ilani ya CCM kwa kusimamia miradi ya maendeleo iliyopo.
Watoto wanne washambuliwa na fisi wakiwa wamelala Waliojeruhiwa ni Jishanga Izengo (18), Kanizio Joseph, mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mwalata, Lazaro Emmanuel anayesoma darasa la tano katika shule ya msingi Mwalata pamoja...
Kishapu wapitisha bajeti Sh39.4 bilioni kwa 2023/24 Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga limejadili na kupitisha mpango wa bajeti wa mwaka 2023/2024 wenye jumla ya Sh39.4 bilioni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo.
Makamu wa Rais awaonya wanaobambika wananchi bili za maji Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amevitaka vyombo vya usalama nchini kuwafuatilia na kuwachukulia hatua kali za kisheria watu na wawekezaji wakubwa wanaoiba maji na wanaochepua maji kutoka kwenye...
Wananchi Shinyanga walia mikopo umiza, vicoba kuvunja ndoa Wananchi wa Mtaa wa Dome uliopo manispaa ya Shinyanga wamemuomba Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi kusimamia suala la mikopo umiza kwa wanawake kwani limekuwa likisababisha ndoa...