Dk Mpango awasili nyumbani kwa RAS Kilimanjaro kuhani msiba Makamu huyo wa Rais, amewasili nyumbani hapo eneo la Shanty Town mjini Moshi saa 6:40 mchana akitokea mkoani Arusha
Rais Samia atuma salamu za rambirambi kifo cha RAS Kilimanjaro, dereva wake "Rais Samia anawapa pole ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu, Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi,"
Mbowe amtaja Ndesamburo uimara wa Chadema Kilimanjaro Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka wanachama wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro kumuenzi mwanasiasa mkongwe mkoani humo, Philemon Ndesamburo...
RAS Kilimanjaro afariki dunia kwa ajali Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda amefariki dunia katika ajali eneo la Njiapanda ya KIA, Wilaya ya Hai, akiwa ziarani mkoani humo.
Auawa kwa madai ya kuhoji 'kwa nini unamwaga bia' Kijana, Erasmi Johnbosco (23), Mkazi wa kitongoji cha Moru, Kijiji cha Lessoroma, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa na kisu sehemu ya kifuani na kijana mwenzake...
Mama wa Frateri azikwa na mapadri zaidi ya 30 Levina Massawe ambaye alifariki dunia Juni 9, 2024, siku 16 baada ya maziko ya mwanaye, amezikwa katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro
Mama yake Frateri anayedaiwa kujinyonga naye afariki dunia Zikiwa zimepita siku 16 tangu Frateri wa Kanisa Katoliki, Rogassian Massawe (25) anayedaiwa kujinyonga hadi kufa azikwe nyumbani kwao, katika Kijiji cha Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani...
Beatrice anayedaiwa kumuua mumewe apandishwa kizimbani Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Msele, wakiwamo watoto wake, walifika mahakamani kushuhudia kinachoendelea leo Jumatatu, Juni 10, 2024
Alichokisema Malisa baada ya kuachiwa ‘’Unapotimiza jukumu kisha ukakutana na upinzani, maana yake haitakiwi kurudi nyuma bali kuongeza kasi juhudi zaidi katika kupigania haki za Watanzania,’’
Sababu Malisa kupelekwa hospitali baada ya kuachiwa Mwasipu amesema kwasasa Malisa anaendelea vizuri na leo saa 3:00 atapaswa kuripoti kituo cha polisi Moshi kati.