Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1438 results for Janeth Joseph :

  1. Wanakijiji Moshi walalamikia uhaba wa maji

    Wananchi hao wamesema wanalazimika kunywa maji hayo kutokana na mgao mkubwa wa huduma hiyo uliopo katika kijiji hicho, ambapo kwa mwezi yanatoka mara moja au wanakosa kabisa.

  2. PRIME Makali ya maisha, maumivu kila mahali

    Mambo hayo yamekuwa yakiwapunguzia ufanisi katika shughuli za maendeleo wanazozifanya.

  3. Wanafunzi waliofariki kwa kuangukiwa na gema wazikwa

    Wanafunzi hao wa familia moja, waliangukiwa na gema la udongo kwenye nyumba waliyokuwa wamelala usiku wa kuamkia jana, Januari 31 kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.

  4. RC Kilimanjaro asema bei sukari ibandikwe dukani

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema kila mtu ambaye ana duka na anapenda kuuza sukari, lazima aandike tangazo la bei elekezi mbele ya duka lake

  5. PRIME Siri wizi wa transfoma za Tanesco

    Kutokana na wizi wa transfoma 85 unaotajwa kuchangia kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo nchini, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema thamani ya hasara iliyopatikana kutokana na...

  6. Wenye ulemavu kukutanishwa Kilimanjaro

    Hafla hiyo iliyopewa jina la 'The night to shine' itawakutanisha wenye ulemavu zaidi ya 60 mkoani hapa Februari 9, ambapo siku hiyo itakuwa ni siku ya kipekee kwao kwa kuwa watavalishwa mataji...

    New Content Item (1)
  7. Hizi ndizo alama alizoacha Ole Mushi

    Maziko ya mchambuzi na mchangiaji wa mijadala kwenye mitandao ya kijamii, Thadei Mushi maarufu Thadei Ole Mushi yamewakutanisha viongozi wa kisiasa kutoka vyama mbalimbali mkoani Kilimanjaro...

  8. Wafanyakazi Tanesco mbaroni kwa kuunganishia wateja 21 umeme kinyemela

    Miongoni mwa wanaoshikiliwa na Polisi yupo kinara ambaye anatajwa ni kiongozi wa mtandao wa ‘vishoka' mkoani Kilimanjaro.

  9. Moto wateketeza soko Moshi, wafanyabiashara walia na Zimamoto

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema gari la Zimamoto lilishindwa kuzima moto huo kwa kuwa ni bovu.

  10. Dk Nchimbi, wanajamii wamlilia Thadei Ole Mushi

    Waeleza Thadei Ole Mushi alivyoiteka mitandao ya kijamii kwa uchambuzi na uchangiaji wa mada mbalimbali, hususani za kisiasa na jinsi kifo chake kilivyowagusa wengi.

Previous

Page 69 of 144

Next