Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

179 results for Suzy Butondo :

  1. Wanakijiji wahofia magonjwa, kubomoka bwawa Mwadui

    Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sofia Mjema, kufuatia kupasuaka kwa bwawa hilo linalomikiliwa na mgodi wa almasi wa Williamson Diamond, nyumba ambazo zimezingirwa na tope ni 13 na...

  2. Bwawa la mgodi wa Mwadui labomoka, wananchi wakimbia makazi

    Bwawa kubwa la mgodi wa almasi wa Williamson Diamond uliopo Mwadui mkoani Shinyanga, limebomoka na kusababisha kutiririka kwa tope kwenye makazi ya watu katika vijiji vinavyozunguka mdgodi huo.

  3. Mwanamke uawa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwake

    Watu wasiojulikana wamemuua kwa kumkata mapanga mkazi wa Kijiji cha Mwamalulu wilayani hapa, Nshoma Moshi (50), wakati akimwogesha mjukuu wake nyumbani kwake, sababu ikitajwa kuwa ni ugomvi wa...

  4. Mwanafunzi wa miaka 11 ajinyonga ndani ya nyumba

    Mwanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi Ndala ‘A’ Manispaa ya Shinyanga, Brayton Daniel (11) amekutwa amejinyonga kwa kamba nyuma ya mlango nyumbani kwao.

  5. Babu ashikiliwa kwa madai ya kumbaka mwanafunzi wa miaka 14

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abubakar Saidi (64) mkazi wa Kata ya Ndembezi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (14) katika shule ya sekondari iliyopo katika...

  6. Kalima ataka viongozi CCM kuvunja makundi

    Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi CCM, Gilibert Kalima amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho kuvunja makundi yaliyotokana na kampeni za uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala.

  7. Vijana 10 wadaiwa kumkata mtu mapanga, kumpora Sh10,000

    Baraka Mayala (24) mkazi wa manispaa ya Shinyanga amenusurika kifo baada ya kukatwa mapanga wakati akitoka harusini na kuporwa simu na Sh10,000.

  8. Aliyeua wawili Shinyanga naye auawa

    Mtu huyo anayedaiwa kuwa na tatizo la akili, alivamia katika nyumba ya mtu na kuanza kushambulia watu kwa kitu cha ncha kali na mwenye nyumba alipofika alipigwa kichwani na kufariki hapo hapo.

  9. Wajumbe CCM watakiwa kuachana na chuki, majungu

    Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Abubakar Gulamu amewataka wanachama wa CCM kufanya kazi kwa ushirikiano na kuachana na chuki, hila na majungu ili waendelee kukijenge chama...

  10. Sh21 milioni zatengeneza gari la Zimamoto Shinyanga

    Gari hilo limerudi katika hali yake ya kawaida baada ya kampuni ya Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamond Ltd kulifanyia matengenezo.

Previous

Page 8 of 18

Next