Mbaroni akidaiwa kumuua mzee aliyelala msibani Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Godbless Kawiche (26), mkazi wa Kitongoji cha Faru, kata ya Njia Panda, wilayani Moshi kwa tuhuma za mauaji ya mzee wa Kimaasai mwenye umri kati...
Kijana adaiwa kuua muombolezaji msibani Akisimulia jinsi tukio hilo lilivyotokea, Assey, amesema wakati baadhi ya waombolezaji wakiwa wanakesha kwenye msiba huo, kuliibuka sintofahamu baada ya mdogo wa marehemu, Godbless Kawiche kuanza...
Fundi mwashi adaiwa kuuawa akibishana na wenzake Inadaiwa tukio hilo limetokea baada ya kuangalia mpira katika moja ya baa maarufu iliyopo eneo la soko la Mamsera wilayani humo.
Maofisa wa TRA wanusurika kipigo Hali hiyo ilijitokeza baada ya kukamata mifuko 30 ya sukari inayodhaniwa kuwa ni ya magendo iliyokuwa imefichwa kwenye moja ya nyumba iliyopo mjini Holili.
Waliofariki maporomoko ya Same wafikia watatu Maporomoko ya mawe na udongo ambayo yameziba baadhi ya barabara na kusababisha kukatika kwa mawasiliano wilayani humo hasa maeneo ya milimani yamesababisha adha kubwa ikiwemo watu kushindwa...
Wezi wavunja kanisa KKKT Hai, waiba mamilioni Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo Januari 8, 2024 na uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea.
Wawili wafariki Same kwa kuangukiwa na gema, kaya 10 zikiachwa bila makazi Mtendaji wa kata ya Mtii, Yunis Mndeme amesema katika kata hiyo amefariki kijana mmoja, aitwaye Noel Gilbert (17) ambapo nyumba aliyokuwa amelala iliangukiwa na maporomoko ya udongo ya mvua na...
Abiria wa mabasi Kilimanjaro Express wakwama Moshi, Dar Ofisa Mfawidhi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Kilimanjaro, Paulo Nyello amesema kwa sasa wanaangalia ya abiria hao kutafutiwa usafiri mwingine ama warejeshewe nauli zao...
Wanafunzi walioathirika Hanang wasaidiwa sare, vifaa ya shule Chama cha Makatibu wa Afya Mkoa wa Manyara, (Cahsata) kimewasaidia sare na vifaa vya masomo wanafunzi walioathirika na maporomoko ya tope na mawe na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya...
Wazazi waijia juu Manispaa ya Moshi kuhusu wanafunzi kuhamishwa shule Wazazi wamesema awali walikubaliana wanafunzi wa darasa la pili hadi la saba wataendelea na masomo kama kawaida huku wakipokewa wa mchepuo mpya kwa madarasa ya awali na la kwanza