Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1438 results for Janeth Joseph :

  1. Watoto watatu wa familia moja wateketea kwa moto Rombo

    Waliofariki dunia ni Oseline Laswai (9) mwanafunzi wa darasa la nne, Jolin Laswai (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza, waliokuwa wakisoma Shule ya Msingi Baraka pamoja na mdogo wao Anna Laswai...

  2. Mchengerwa awatangazia kiama MaDC, MaDED, kumshauri Rais awatengue

    hatarajii kuona kiongozi anayesubiri kupelekewa fedha za ununuzi wa madawati huku watoto wanakaa kwenye jengo lililochakaa na ambalo linaweza kuwaangukia wakati wowote. “Kama yupo asubiri nje ya...

  3. Kijana adaiwa kumuua baba yake

    Daktari Mstaafu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi, Samwel Tenga (68) amefariki dunia baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mtoto wake, Honest Samwel (33) ambaye...

  4. Gari lililokuwa limebeba wanafunzi lakamatwa na mirungi

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, linawashikilia wafanyakazi watatu wa basi la kampuni ya Extra Luxury kwa kukutwa na bunda 316 na kilo 55 za mirungi zilizokuwa ndani ya gari hilo lililobeba...

  5. Mwanafunzi atoweka katika mazingira ya kutatanisha Moshi

    Bibi yake huyo, amesema baada ya mwanafunzi huyo kutoweka nyumbani kwao siku hiyo, alikwenda kituo cha Polisi cha Himo kutoa taarifa za kutoonekana kwa mjukuu wake huyo ambapo alipewa RB namba...

  6. Uwanja wa ndege KIA kuwekewa taa za kisasa

    Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini (TAA), imesema mwanzoni wa mwaka 2024, itaanza kuboresha miundombinu ya uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa kuweka taa za kisasa za kuongezea...

  7. Mama amuunguza mwanaye akimtuhumu kumchonganisha na mumewe

    Shayo ambaye ameachana na mke wake huyo, amesema tukio hilo limemhuzunisha kama mzazi na alichokifanya mwanamke huyo ni ukatili wa kinyama.

  8. KCBL yajinasua kufilisika ikikusanya mtaji wa Sh13 bilioni

    Wakati Serikali ikipambana kuirejesha sokoni Benki ya Ushirika ya Kilimanjaro (KCBL) baada ya kufungwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), mtaji wa benki hiyo sasa umefikia Sh13 bilioni kutoka Sh1.8...

    New Content Item (3)
  9. Matumaini mapya Rais Samia akitarajiwa kuzuru Hanang leo

    Waathirika wa janga la maporomoko ya matope wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara wamepaza sauti zao wakitoa maombi maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan anayetembelea eneo la maafa hayo leo.

  10. Madeni ya vikoba yamuondoa uhai

    Patricia Kisela (57) anadaiwa kujinyonga na kamba ya kufungia ng'ombe huku akiacha ujumbe kuwa kuzidiwa na madeni ndiyo sababu ya kuchukua uamuzi huo.

Previous

Page 73 of 144

Next