Bwana harusi mtarajiwa amlilia mchumba wake aliyefia ajalini "Msiba huu tumeupokea tofauti na zaidi ya maumivu kama ambavyo hakuna mtu anayeweza kupokea msiba na kuukubali, sasa hivi tuko kwenye maandalizi ya msiba hatuwezi kuzungumza chochote kwa sasa."
Bibi harusi, mama yake wafa ajalini Bibi harusi mtarajiwa, Rehema Chao (37) na mama yake mzazi, Agness Chao (75) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum kugonga lori.
TRA Kilimanjaro yavuka lengo ukusanyaji mapato Moshi. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kilimanjaro imekusanya Sh263.1 bilioni kwa mwaka wa fedha 2022/23 ambayo ni zaidi ya asilimia 102 ya lengo lilolokusidiwa la Sh257 .84 bilioni kwa...
Dk Biteko awataka wahitimu Mweka kuichukia rushwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka wahitimu wa taaluma za uhifadhi na masuala ya utalii, kulinda rasilimali za Taifa na kuepuka kujitajirisha katikati ya umaskini wa...
Biteko kuzindua mnara wa kumbukumbu Mweka Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko kesho, Novemba 25, 2023 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 na mahafali ya 59 ya chuo cha Usimamizi wa...
Mvua yakwamisha magari nane ya misiba Kilimanjaro Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameeleza namna magari nane yaliyokuwa yamebeba misiba ilivyokwama eneo la Hedaru, wilayani Same kutokana na kukatika kwa mawasiliano ya barabara...
Fidia KIA yaiva, Sh11.5 bilioni kutumika Serikali imatakangaza kufikia hatua nzuri za kumaliza mgogoro baina ya wananchi wa vijiji vitatu vinavyouzunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wilayani Hai huku ikibainisha...
Wadaiwa kuiba mamilioni kwenye gari Moshi Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linafuatilia tukio la wizi wa mamilioni ya fedha ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa nje ya moja ya maduka makubwa yaliyopo katikati ya mji wa Moshi na...
Wahitimu wa kada za afya wapewe neno Wahitimu wa kada mbalimbali za afya katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Kikristo cha Tiba cha Kilimanjaro (KCMUCo), wametakiwa kutoa huduma za afya bila ubaguzi huku hofu ya Mungu ikiwaongoza na...