Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1440 results for Janeth Joseph :

  1. Simulizi ya aliyekaa hospitali miaka 16 akitibiwa

    “Wazazi wangu na ndugu zangu wengine sita wote wamefariki, walifariki wakati nipo hospitali nimelazwa. Nawaza nikitoka hospitali kurudi nyumbani, sijui nitapakuta vipi maana hata mke wangu...

  2. Watanzania zaidi ya 300 kupandisha bendera Mlima Kilimanjro

    Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka Watanzania watakaopanda mlima kilimanjaro kupitia Kampeni ya 'Twenzetu kileleni' katika maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika...

  3. Muwasa: Upungufu wa umeme chanzo kukosekana maji Moshi

    Mamalaka ya Maji Safi na Usafi Mazingira Moshi (Muwsa), imesema kuwa changamono ya ukopungufu wa umeme, ni kiini cha zaidi ya kaya 30, katika Mtaa wa Kitandu, Kata ya Longuo B, Manispaa ya Moshi,...

  4. Moshi Watahadharishwa mpasuko kuelekea chaguzi

    Madiwani na watendaji, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuwa wamoja na kuacha kutengenezeana ajali za kisiasa, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa...

  5. Polisi, wananchi watakiwa kujifunza kifo cha Trafiki aliyegongwa gari

    Wakati mwili wa askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, WP. 3984 Sajenti, Stella Alfonce (49) ukitarajiwa kuzikwa Bukoba mkoani Kagera, Maofisa wa Jeshi la...

  6. Utata vifo vya watu watatu walioteketea moto Moshi

    Vijana watatu wakiwemo wawili wa familia moja wamefariki dunia kwa kuteketea kwa moto katika kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi...

  7. Serikali kubuni mbinu mpya kuongeza unywaji wa kahawa

    Serikali imeitaka Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) kushirikiana na wadau wengine wa zao la kahawa nchini, kuja na ubunifu na mbinu mpya za kuhamasisha unywaji wa kahawa ili kukuza soko la ndani la...

  8. Changamoto nane zinazoikabili sekta ya kahawa

    Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), imetaja changamoto nane zinazoikabili sekta ya kahawa nchini, huku ikijikita kuboresha miundombinu, kusimamia ubora na kuimarisha soko la ndani la zao hilo, ili...

  9. Bosi adaiwa kuua 'house girl' wa miaka 14 kwa kichapo

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, linamsaka mkazi wa Kijiji cha Uswaa, wilayani Hai (jina linahifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi), akidaiwa kuhusika kifo cha msichana wake wa kazi 'house girl'...

  10. Mama Shamsudini akamatwa akituhumiwa kumuua mwanaye kwa moto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, limemkamata Semen Feruz Alfan (45), mkazi wa Reli Juu, Wilaya ya Mwanga, mkoani humo, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwanaye Shamsudini Jamadu Msemo...

Previous

Page 77 of 144

Next