Wanawake Lindi waonywa mikopo ya ‘kausha damu’ Wanawake 100 watapatiwa mafunzo ya ujasiriamali yatakayowasaidia kupata elimu ya masoko ili kuuza bidhaa zao ndani na nje ya nchi
Mtoto afa maji baharini Lindi Mama mlezi wa marehemu, Sophia Hamisi amesema mtoto huyo alitoka nyumbani saa 12 jioni akasema anaelekea msikitini
Wakazi 3,600 wa Lindi kunufaika na mradi wa maji “Niahidi mbele ya viongozi wote, ifikapo Mei 30, mradi huu wa maji wa Nanjime Mkwajuni utakuwa umekamilika na wananchi wanapata maji,” amesema Respcious.
Tanroads yaanza ukarabati kalavati lililotitia mto Mbwemkuru Kalavati hilo lilititia juzi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Ujenzi huo wa barabara mbadala utawezesha magari kupita wakati juhudi za kurudisha hali kama ilivyokuwa...
Majaliwa awataka watendaji wa vijiji kutatua migogoro ya ardhi Amewataka watendaji wa vijiji na vitongoji kuhakikisha wanatoa elimu kwa wananchi ili kumaliza migogoro ambayo imekuwa ikileta maafa wilayani Ruangwa.
Afa maji akivua samaki mtoni Lindi Mganga Mfawaidhi wa Kituo cha Afya Kibutuka, Dk Yohane Duway aliliambia Mwananchi kuwa baada ya uchunguzi wa mwili, walibaini sababu ya kifo ni kunywa maji mengi yaliyoingia kwenye mfumo wa hewa.
Telack amtwisha zigo la migogoro ya ardhi DC mpya Kilwa Ni zigo la kutatua changamoto ya migogoro ya ardhi kwa wakati na sio kukaa muda mrefu bila kutolea maamuzi.
Serikali yakunjua makucha mgomo wa hospitali binafsi Serikali imezitaka hospitali binafsi kupokea wagonjwa kulingana na masharti ya leseni na usajili wa hospitali hizo
Wahudumu wa baa walalamika kunyanyaswa kazini "Licha ya makato yasioeleweka, pia unamkuta bosi anakutukana matusi mbele ya mteja, huo ni unyanyasaji ambao haukubaliki kabisa, kwani hata sisi tuna haki zetu," amesema Neema.
Imani potofu yatajwa kukithiri ugonjwa wa vikope Lindi Imani potofu ya wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, imetajwa kuwa sababu ya kukithiri kwa ugonjwa wa vikope kutokana baadhi ya wananchi wa wilaya hiyo kuogopa matibabu ya macho wakidai...