Mganga mkuu apewa mtihani kumsaka nesi Mganga Mkuu wa Wilaya, Itikija Msuya ametakiwa kumsaka muuguzi wa hospitali ya wilaya aliyekataa kumchoma sindano mgonjwa kwa madai ya kukataa kununua dawa zake.
18 wajeruhiwa ajali ya Coaster Same “Ni kweli kumetokea ajali alfajiri ya leo kati ya majira ya saa 9 au 10 usiku katika eneo la Mabilioni karibu na mpaka wa Korogwe na Same, inavyoonekana ni kama dereva alisinzia,” amesema.
Kikwete ahimiza mapambano dhidi ya Ukimwi Kikwete amewataka wadau mbalimbali kuendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Serikali katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) hapa nchini.
Kikwete awakumbusha vijana nchini kutumia kinga Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amewakumbusha vijana nchini kuendelea kuchukua tahadhari na kujikinga dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa kutumia kinga.
Mabishano ya kisheria yaibuka kortini kesi ya Dk Pima Mabishano makali ya kisheria yameibuka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili baada ya mawakili wa Serikali...
DC Hai aagiza kusakwa kwa muuguzi aliyegoma kutoa huduma Mkuu wa wilaya ya Hai, Amir Mkalipa amemwagiza mganga mkuu wa wilaya ya Hai (DMO) kumsaka muuguzi wa hospitali ya wilaya hiyo aliyegoma kumchoma mgonjwa sindano baada ya mgonjwa huyo kumkatalia...
Afariki saluni akisubiri kunyolewa ithibitisha tukio hilo, Mwenyeki wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Siha ambaye pia ndiye Mkuu wa Wilaya hiyo, Christopher Timbuka ameiambia Mwananchi Digital kuwa marehemu alikuwa...
Upelelezi kesi ya uhujumu uchumi Moshi wakamilika Kesi ya uhujumu uchumi ambayo inawakabili waliokuwa wafanyakazi watatu wa benki ya Ushirika ya Kilimanjaro (KCBL), upelelezi wake umekamilika huku upande wa mashitaka ukiwasilisha mahakamani...
Kifo tata mwanafunzi anayedaiwa kujinyonga Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Mother Kelvin Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro anadaiwa kufariki dunia baada kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuambiwa hatoruhusiwa kupanda...
Kilimanjaro kupunguza idadi ya kaya maskini kwa asimilia 50 Mkoa wa Kilimanjaro kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini (Tasaf) umelenga kupunguza idadi ya kaya hizo kwa zaidi ya asilimia 50, hii ni baada ya mpango huo kuonesha mafanikio makubwa kwa...